bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Sasa kama hafanyi si aka react, kwa dudu baya..!Tatizo sio yeye kuwa shoga au kutokuwa shoga tatizo ni watu kujua yeye ni shoga ..
It doesn't matter whether anafanya au hafanyi.
Kama anafanya na uhakika atakuwa anafanya kwa siri sana.na hakutaka watu wajue siri yake .Sasa wameijua.
Na kama hafanyi pia ni tatizo kwa sababu tayari wanamnyooshea vidole.
Dogo anapitia public humiliation ya hali ya juu sana.
I.am a concerned brethren. I can feel.what he feel