Tetesi: God Forbid ! Sam Misago.anaweza kujiua!!!

Watu mnaochekelea ngoja siku watajwe ndugu zenu au mtajwe nyie kabisa. Dudu baya anazingua sana japo inaonekana kuna mtu yupo nyuma yake
Yaani katika maisha kuna mambo mengine hutakiwi uwe nayo siriasi sana, nakupa mfano angalia maisha anayo ishi Le Mutuz, yule jamaa hawezi kuja kufa kwa presha,

Yaani mwanaume amezaliwa kupambana na changamoto zote anazokumbana nazo katika maisha............ Mm ukinizushia mm ni shoga hata mtu asimame mbele ya uso wa dunia na kusema mm ni shoga, huwa sijali ndugu au jamii itanichukuliaje madam mm najijua kuwa mm siyo shoga

Yaani nijiuwe kisa mtu kanizushia??? Big no
 
Kusingekuwepo na wanasaikolojia sababu hakuna mtu angehitaji huduma yao. So binadamu hatupo sawa kwenye kila kitu
 
Usiombee yakukute mkuu
 
HILO LIKONKI BAADA YA KUSHINDWA MAISHA LINATAKA KUHARIBU MAISHA YA VIJANA WALIOJIJENGA KWA JASHO NA UBUNIFU WA MUDA MREFU.

NI JITU MOJA LIPUMBAVU SANA!
Mkuu mbona unatumia ngivu kubwa kila thread kumponda jamaa,km sio kweli si mkamshtaki tu.
 
Sasa mm kama sio shoga halafu mtu akasema shoga nitaumia nikose raha kwa sababu gani?!


Siku zote watu wengi hawatakuongelea kwa mema as long as unajua hujihusishi na mambo ya kishoga huwezi kupoteza hata saa 1 kuwaza hilo
 
Sure.. Ubovu wa hv vitu huwa havisafishiki kwa urahisi.. Anawakat mgumu sana
 
Kwa kipaji hiki nadhani unaweza kuwaona wasiojulikana.
 
Sam Misago nimeishi nae mtaa mmoja kwa miaka miwili na tulikuwa tunafahamiana. Kwa nilivyomuona sikuona dalili zozote za ushoga. Kwanza kwenye sekta ya mademu alikuwa anawala vibaya sana, nachelea kusema katika vijana niliowashugudia wakibadili wanawake huyu dogo anaongoza.

Sasa hil la kusema shoga sikuwahi kuhisi kwasababu sikuona dalili zozote. Tatizo la wabongo mvulana akiwa hb,msafi swaga fulani kupita kiasi hawachelewi kusema ni shoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…