witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji144] [emoji144]Hata kama ni shoga..approach aliyotumia Dudubaya sio nzuri hata kidogo.
Huko ni kudhalilishana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji144] [emoji144]Hata kama ni shoga..approach aliyotumia Dudubaya sio nzuri hata kidogo.
Huko ni kudhalilishana.
Una uhakika mkuu?Honestly Sam hakuonewa...ni mchele mchele..oil chafu!
Hahahaha uwiiiKama hauwezi kusoma mind ya MTU kwa kutazama.macho yake plus his body language, my friend I am.regretting to tell u that wewe ni kilaza
Yaani katika maisha kuna mambo mengine hutakiwi uwe nayo siriasi sana, nakupa mfano angalia maisha anayo ishi Le Mutuz, yule jamaa hawezi kuja kufa kwa presha,Watu mnaochekelea ngoja siku watajwe ndugu zenu au mtajwe nyie kabisa. Dudu baya anazingua sana japo inaonekana kuna mtu yupo nyuma yake
Kusingekuwepo na wanasaikolojia sababu hakuna mtu angehitaji huduma yao. So binadamu hatupo sawa kwenye kila kituYaani katika maisha kuna mambo mengine hutakiwi uwe nayo siriasi sana, nakupa mfano angalia maisha anayo ishi Le Mutuz, yule jamaa hawezi kuja kufa kwa presha,
Yaani mwanaume amezaliwa kupambana na changamoto zote anazokumbana nazo katika maisha............ Mm ukinizushia mm ni shoga hata mtu asimame mbele ya uso wa dunia na kusema mm ni shoga, huwa sijali ndugu au jamii itanichukuliaje madam mm najijua kuwa mm siyo shoga
Yaani nijiuwe kisa mtu kanizushia??? Big no
Usiombee yakukute mkuuYaani katika maisha kuna mambo mengine hutakiwi uwe nayo siriasi sana, nakupa mfano angalia maisha anayo ishi Le Mutuz, yule jamaa hawezi kuja kufa kwa presha,
Yaani mwanaume amezaliwa kupambana na changamoto zote anazokumbana nazo katika maisha............ Mm ukinizushia mm ni shoga hata mtu asimame mbele ya uso wa dunia na kusema mm ni shoga, huwa sijali ndugu au jamii itanichukuliaje madam mm najijua kuwa mm siyo shoga
Yaani nijiuwe kisa mtu kanizushia??? Big no
Mkuu mbona unatumia ngivu kubwa kila thread kumponda jamaa,km sio kweli si mkamshtaki tu.HILO LIKONKI BAADA YA KUSHINDWA MAISHA LINATAKA KUHARIBU MAISHA YA VIJANA WALIOJIJENGA KWA JASHO NA UBUNIFU WA MUDA MREFU.
NI JITU MOJA LIPUMBAVU SANA!
Yes Msemakweli ni mpenzi wa MunguUna uhakika mkuu?
kwani hana ndogo??Mimi naamini kabisa kuna wachache wameonewa katika hili
Eti kwisa nae dah
Dah we jamaa bhana.. Umenichekesha sanaMsiba wa shoga hauna mtanga...
Sure.. Ubovu wa hv vitu huwa havisafishiki kwa urahisi.. Anawakat mgumu sanaTatizo sio yeye kuwa shoga au kutokuwa shoga tatizo ni watu kujua yeye ni shoga ..
It doesn't matter whether anafanya au hafanyi.
Kama anafanya na uhakika atakuwa anafanya kwa siri sana.na hakutaka watu wajue siri yake .Sasa wameijua.
Na kama hafanyi pia ni tatizo kwa sababu tayari wanamnyooshea vidole.
Dogo anapitia public humiliation ya hali ya juu sana.
I.am a concerned brethren. I can feel.what he feel
Wanahitaji psychological therapy..Jana Sam mahela kwenye taarifa ya habari hakuwa na raha kabisa!
Kiukweli...usiombe yakukute!Wanahitaji psychological therapy..
Kwa kipaji hiki nadhani unaweza kuwaona wasiojulikana.Watu wenye hekima na busara wanasema macho ni pazia ya nafsi. Unaweza kusoma yaliyomo ndani ya nafsi ya MTU kwa kutazama macho Yake.
Juzi.nimetazama FNL show and honestyly speaking Sam Misago anaonekana.hayupo sawa kabisa.
Hata hiyo show yenyewe alikuwa anaonekana anaifanya kwa kukibaraguza ( kulazimisha furaha )
He seems to posses a very troubled mind just like the Nazarenus when he was informed about the death.of Lazarus.
Watu wa karibu na Sam.Misago kaeni karibu na ndugu yenu mumfariji Kabla hajajidhuru.
Mzigo aliotupiwa ni mzito kama kabwe.
Ni wanaume wachache sana katika dunia hii wanaweza kubeba mzigo alio tupiwa Sam.Misago et al
Allah akufanyie wepesi mdogo wangu Sam Misago na akuepishie mbali na shari
Sio Adaha bali ni HadaaDunia Adaha, Ulimwengu Shujaa
Hahaha...Rafiki wa Yesu
Ndogo ndio nini mkuu ?kwani hana ndogo??