James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Nimemsikiliza HK leo kwa dakika chache nimeona anapiga nyimbo za faraja tuu....yote tisa kesho kwa Jim Kabwe hahaaaaa ata caste shade za kufa mtu.....Jana Sam mahela kwenye taarifa ya habari hakuwa na raha kabisa!
Na hata waliosoma naye chuo wanasema hawajawahi kumuona au hata akiwa na elements yoyote ya ushogaSam Misago nimeishi nae mtaa mmoja kwa miaka miwili na tulikuwa tunafahamiana. Kwa nilivyomuona sikuona dalili zozote za ushoga. Kwanza kwenye sekta ya mademu alikuwa anawala vibaya sana, nachelea kusema katika vijana niliowashugudia wakibadili wanawake huyu dogo anaongoza.
Sasa hil la kusema shoga sikuwahi kuhisi kwasababu sikuona dalili zozote. Tatizo la wabongo mvulana akiwa hb,msafi swaga fulani kupita kiasi hawachelewi kusema ni shoga.
Umenikumbusha ya bushoke. Aliwahi kuzushiwaga ushoga miaka hiyo ya 2005 kwa sababu alikuwa smart sana..Sam Misago nimeishi nae mtaa mmoja kwa miaka miwili na tulikuwa tunafahamiana. Kwa nilivyomuona sikuona dalili zozote za ushoga. Kwanza kwenye sekta ya mademu alikuwa anawala vibaya sana, nachelea kusema katika vijana niliowashugudia wakibadili wanawake huyu dogo anaongoza.
Sasa hil la kusema shoga sikuwahi kuhisi kwasababu sikuona dalili zozote. Tatizo la wabongo mvulana akiwa hb,msafi swaga fulani kupita kiasi hawachelewi kusema ni shoga.
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini,I know the boy.Na hata waliosoma naye chuo wanasema hawajawahi kumuona au hata akiwa na elements yoyote ya ushoga
Umeonga point sana lzma ajione yatima ghafla, kufanya vitu ambavyo ulikuwa unaviona sawa ila kwa jamii wanaviona vibaya wakija gundua unakuwa kwy wkt mgumu sana maana watu wanakuona uko mbaya.Tatizo sio yeye kuwa shoga au kutokuwa shoga tatizo ni watu kujua yeye ni shoga ..
It doesn't matter whether anafanya au hafanyi.
Kama anafanya na uhakika atakuwa anafanya kwa siri sana.na hakutaka watu wajue siri yake .Sasa wameijua.
Na kama hafanyi pia ni tatizo kwa sababu tayari wanamnyooshea vidole.
Dogo anapitia public humiliation ya hali ya juu sana.
I.am a concerned brethren. I can feel.what he feel
Atakuja kujiua mtu hapa tz ndioa tujue kuwa haya mambo ya kutajana ni mabaya hata kama anafanya ila wtu kujua hilo linakuwa jambo baya kwake na anaweza kujidhuru kabisa tuombe hilo la kujana liishe lasivo litatugharimu sana.Tatizo sio yeye kuwa shoga au kutokuwa shoga tatizo ni watu kujua yeye ni shoga ..
It doesn't matter whether anafanya au hafanyi.
Kama anafanya na uhakika atakuwa anafanya kwa siri sana.na hakutaka watu wajue siri yake .Sasa wameijua.
Na kama hafanyi pia ni tatizo kwa sababu tayari wanamnyooshea vidole.
Dogo anapitia public humiliation ya hali ya juu sana.
I.am a concerned brethren. I can feel.what he feel
Mkuu mbonaHILO LIKONKI BAADA YA KUSHINDWA MAISHA LINATAKA KUHARIBU MAISHA YA VIJANA WALIOJIJENGA KWA JASHO NA UBUNIFU WA MUDA MREFU.
NI JITU MOJA LIPUMBAVU SANA!
You might be right or u might be wrong this world is full of suprises.....Sam Misago nimeishi nae mtaa mmoja kwa miaka miwili na tulikuwa tunafahamiana. Kwa nilivyomuona sikuona dalili zozote za ushoga. Kwanza kwenye sekta ya mademu alikuwa anawala vibaya sana, nachelea kusema katika vijana niliowashugudia wakibadili wanawake huyu dogo anaongoza.
Sasa hil la kusema shoga sikuwahi kuhisi kwasababu sikuona dalili zozote. Tatizo la wabongo mvulana akiwa hb,msafi swaga fulani kupita kiasi hawachelewi kusema ni shoga.
Tanzania wachunguzi wamekua wengi adi kwenye TV wanajua unacho waza[emoji41]
Lengo kufuta ishu ya MoHii nchi kuna watu wanajua kucheza na akili za wanancho, Hii issue ya mashoga ndani ya miezi miwili au mitatu ijayo huta isikia tena na nina hakika kipindi hicho kutakuwa na issue nyingine ambayo itakuwa iko hot.
WACHA UJINGA WEYE!Dawa ni moja tuu waache ushoga....kusema et namjua tangu primary , mara ooh chuo mara nimeishi nae miaka kadhaa alikuwa busy na mdemu tuu bila element za ushoga huo ni upunga....Dudu baya kasema kama anabisha wakapimwe na kama wako poa akaozee jela.....kama yupo poa agharamike tu kusafisha jina lake by any cost jamii itatambua sku hzi media kibao.....huyo jamaa ni victim wa hzo mambo huwa zinafanyika very secret sana
Kweli kabisa alidate na rafiki yangu alimsumbua maana kila leo kumkuta na wanawake.Sam Misago nimeishi nae mtaa mmoja kwa miaka miwili na tulikuwa tunafahamiana. Kwa nilivyomuona sikuona dalili zozote za ushoga. Kwanza kwenye sekta ya mademu alikuwa anawala vibaya sana, nachelea kusema katika vijana niliowashugudia wakibadili wanawake huyu dogo anaongoza.
Sasa hil la kusema shoga sikuwahi kuhisi kwasababu sikuona dalili zozote. Tatizo la wabongo mvulana akiwa hb,msafi swaga fulani kupita kiasi hawachelewi kusema ni shoga.
Dawa ni moja tuu waache ushoga....kusema et namjua tangu primary , mara ooh chuo mara nimeishi nae miaka kadhaa alikuwa busy na mdemu tuu bila element za ushoga huo ni upunga....Dudu baya kasema kama anabisha wakapimwe na kama wako poa akaozee jela.....kama yupo poa agharamike tu kusafisha jina lake by any cost jamii itatambua sku hzi media kibao.....huyo jamaa ni victim wa hzo mambo huwa zinafanyika very secret sana
Huyo kwisa ni nani? Yule wa kipindi cha shilawadu auKwisa
Nimeshakutana na watu 10 wakilisema hili na wala sio jana au juzi au mwaka huu