MPANGAPANGA
Member
- Sep 11, 2024
- 82
- 103
haueleweki unakubali kifo kipo ila ni kawaida mtu kufa kawaida mtu kufa imetoka wapi? kusema kifo ni kawaida ,leta uthibitisho ukawaida lazima kifo kiwepo kwanini binadamu asikizuie kifo tuishi tu milele na milele?Sikuwepo popote pale.
Sikuwepo popote pale.
Siendi mahali popote.
Hakuna aliyeileta.
naona kimyaachanzo cha ukoo wenu mlianzia wapi wee unamjua baba Yako na mama yako tu mababu na mabibi wa mabibi zako walitoka wapi ? au wewe ni muumini binadamu alitokana na sokwe?
Wewe mwenyewe umeshindwa kuelezea huyo Mungu alitoka wapi?haueleweki unakubali kifo kipo ila ni kawaida mtu kufa kawaida mtu kufa imetoka wapi? kusema kifo ni kawaida ,leta uthibitisho ukawaida lazima kifo kiwepo kwanini binadamu asikizuie kifo tuishi tu milele na milele?
Kwanza acha kuji quote mwenyewe.naona kimyaa
basi wewe endelea kula maisha maisha yenyewe mafupi kufa kwaja au sio?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kina chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.chanzo cha ukoo wenu mlianzia wapi wee unamjua baba Yako na mama yako tu mababu na mabibi wa mabibi zako walitoka wapi ? au wewe ni muumini binadamu alitokana na sokwe?
birth controls zipo methods nyingi sana hata China wanazitumia sana kupambana higher population za watu nchini mwao hata nchini hutumika sana kuzia birth labda hujuiWewe mwenyewe umeshindwa kuelezea huyo Mungu alitoka wapi?
Na huko alipotoka, kulitoka wapi?
Ila unafosi kwamba binadamu na kifo vimetoka sehemu fulani..!!
Kwa nini usianze kwanza kujiuliza huyo Mungu alitoka wapi, Kisha ndio uulize kifo kilitoka wapi?
Kwa nini unamtoa huyo Mungu kwenye logic ya kutokea mahali fulani?
Kifo ni asili jinsi ilivyo, ili viumbe wengine wazaliwe wapate nafasi ya kuishi, lazima viumbe wengine wapungue wafe.
Na seli za kila kiumbe hufa kadiri muda unavyokwenda. Na hiyo ndio asili ilivyo.
Binadamu hatuwezi kuzuia kifo kwa sababu ni asili, Na sisi wenyewe ni sehemu ya asili hiyo.
Hatuwezi kujizuia tusizaliwe.
usikimbie chanzo wakati umesema wewe chanzo chako ni baba na mama yako nimekuuliza babu na biibi wa Babu wa bibi yako walitoka wapi ? hujanijibu maana chanzo chako kinaanzia kwa wazazi wako vp kuhusu chanzo Cha babu na bibi yako?Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kina chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na chanzo.
birth controls zipo methods nyingi sana hata China wanazitumia sana kupambana higher population za watu nchini mwao hata nchini hutumika sana kuzia birth labda hujui
kama hujui hata asili ya ukoo wenu imetoa wapi Babu na mabibi zako wewe unachojua kuzaliwa kwako kutoka Kwa baba na mama na unachojua cells zako zitachoka mwisho utakufa unasema ukifa pia ndio mwisho wako ,
nikusaidie huyo usiye mjua aliyekuwepo kabla hujazaliwa na hujui ukifa unaenda wapi eti ndio mwisho wako ndio wewe sio hizo cells unazosema, wewe ni uhai wako fumbo macho ujiangalie unaona nini?
hujanijibu utaratibu wa kuzaliwa na kufa uliratibiwa na nani ,nimeona ukiandika kawaida ,nipe udhibitisho kawaida ndio inaratibu kuzaliwa na.kufa , swali lingine kawaida ndio kitu Gani kimetokea wapi ? maana wewe unazungumzia ufahamu umesema hauna Imani na kitu chochote?
Kwanza kwa nini unafosi kuzaliwa na kufa kuliratibiwa?birth controls zipo methods nyingi sana hata China wanazitumia sana kupambana higher population za watu nchini mwao hata nchini hutumika sana kuzia birth labda hujui
kama hujui hata asili ya ukoo wenu imetoa wapi Babu na mabibi zako wewe unachojua kuzaliwa kwako kutoka Kwa baba na mama na unachojua cells zako zitachoka mwisho utakufa unasema ukifa pia ndio mwisho wako ,
nikusaidie huyo usiye mjua aliyekuwepo kabla hujazaliwa na hujui ukifa unaenda wapi eti ndio mwisho wako ndio wewe sio hizo cells unazosema, wewe ni uhai wako fumbo macho ujiangalie unaona nini?
hujanijibu utaratibu wa kuzaliwa na kufa uliratibiwa na nani ,nimeona ukiandika kawaida ,nipe udhibitisho kawaida ndio inaratibu kuzaliwa na.kufa , swali lingine kawaida ndio kitu Gani kimetokea wapi ? maana wewe unazungumzia ufahamu umesema hauna Imani na kitu chochote?
Walitoka kwa wazazi wao.usikimbie chanzo wakati umesema wewe chanzo chako ni baba na mama yako nimekuuliza babu na biibi wa Babu wa bibi yako walitoka wapi ?
Chanzo chao pia kilianzia kwa wazazi wao.hujanijibu maana chanzo chako kinaanzia kwa wazazi wako vp kuhusu chanzo Cha babu na bibi yako?
Kwa nini unasema uwezekano wa kuwepo kwake haupo? Unayajua na una uhakika wa mambo yote ya ulimwengu?God doesn't exist.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Inawezekana kipo kitu kingine, ila sio hicho kiitwacho Mungu.Kwa nini unasema uwezekano wa kuwepo kwake haupo? Unayajua na una uhakika wa mambo yote ya ulimwengu?
bado haujajibu chanzo cha chanzo cha mfululizo wa wazazi wako kuzaliwa kilitoka wapi au utasema wazazi wa wazazi wako hawana mwanzo ila wana mwisho ?Walitoka kwa wazazi wao.
Chanzo chao pia kilianzia kwa wazazi wao.
sawa nimekuelewa hapo mwanzo wa mwanzo walikuwepo Babu na bibi wa wazazi wako ukazaliwa unaishi utakufa ,imeisha hiyoo😃.Walitoka kwa wazazi wao.
Chanzo chao pia kilianzia kwa wazazi wao.
Kila binadamu alizaliwa kutoka kwa mzazi wake, Hivyo hivyo to infinity...bado haujajibu chanzo cha chanzo cha mfululizo wa wazazi wako kuzaliwa kilitoka wapi au utasema wazazi wa wazazi wako hawana mwanzo ila wana mwisho ?
We had no life before life Also we will not have life afterlife.pia haujanijibu nimekwambia unapokufa kinachotoka ni uhai mwili wako unabaki usipozikwa utaishia kubaki mifupa tu
Kabla ya kuzaliwa kwetu Hatukuwepo, kisha tupo, na tukifa tunarudia hali ileile ya kutokuwepo.sawa nimekuelewa hapo mwanzo wa mwanzo walikuwepo Babu na bibi wa wazazi wako ukazaliwa unaishi utakufa ,imeisha hiyoo😃.
kichekesho kikubwa jombaaKila binadamu alizaliwa kutoka kwa mzazi wake, Hivyo hivyo to infinity...
Endless.
We had no life before life Also we will not have life afterlife.
Kabla ya kuzaliwa hatukuwa na uhai, pia tutarudia hali ileile ya kutokuwa na uhai baada ya kufa.
Kabla ya kuzaliwa kwetu Hatukuwepo, kisha tupo, na tukifa tunarudia hali ileile ya kutokuwepo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, Lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.kichekesho kikubwa jombaa
eti uhai haukuwepo ,
eti ukaibuka sasa sijui kutoka wapi?,
baadae uhai huo huo unatoweka kwenda kutokuwepo
eti hakikuwepo kipo hakitakuwepo
au sio
last born bado unazunguka kutafuta sehemu Fulani nadhani tumekubaliana sehemu fulani haipo au vp? 😆 msalimie dingi na Maza🚶Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, Lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kimetoka sehemu fulani, Hata uhai haujatokea sehemu fulani.
Una elewa hilo?
Umeshindwa kujibu hoja unaleta Viroja, who is your last born?last born bado unazunguka kutafuta sehemu Fulani nadhani tumekubaliana sehemu fulani haipo au vp? 😆 msalimie dingi na Maza🚶
unakinzana na nadharia zako mwenyewe ,unakiri vitu vyote Kuna sehemu vinatokea mara unaongezea na hiyo sehemu ipo sehemu inatokea ukiulizwa hiyo sehemu ya sehemu ni wapi unamalizia haipo , labda uende utakatafune mbegu za matikiti maji kumbukumbu zako zitaikumba vizuri hiyo sehemu vitu vyote vinakotokealast born bado unazunguka kutafuta sehemu Fulani nadhani tumekubaliana sehemu fulani haipo au vp? 😆 msalimie dingi na Maza🚶
Wapi nimekiri kwamba vitu vyote kuna sehemu vinatokea?unakinzana na nadharia zako mwenyewe ,unakiri vitu vyote Kuna sehemu vinatokea mara
Wapi nimeandika haya?unaongezea na hiyo sehemu ipo
Una ongea vitu ambavyo hata sijawahi kuvisema.sehemu inatokea ukiulizwa hiyo sehemu ya sehemu ni wapi unamalizia haipo , labda uende utakatafune mbegu za matikiti maji kumbukumbu zako zitaikumba vizuri hiyo sehemu vitu vyote vinakotokea
, "Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, "Wapi nimekiri kwamba vitu vyote kuna sehemu vinatokea?
Onyesha hapo mahali.
Post ipi nilisema hivyo?
Wapi nimeandika haya?
Una ongea vitu ambavyo hata sijawahi kuvisema.