birth controls zipo methods nyingi sana hata China wanazitumia sana kupambana higher population za watu nchini mwao hata nchini hutumika sana kuzia birth labda hujui
kama hujui hata asili ya ukoo wenu imetoa wapi Babu na mabibi zako wewe unachojua kuzaliwa kwako kutoka Kwa baba na mama na unachojua cells zako zitachoka mwisho utakufa unasema ukifa pia ndio mwisho wako ,
nikusaidie huyo usiye mjua aliyekuwepo kabla hujazaliwa na hujui ukifa unaenda wapi eti ndio mwisho wako ndio wewe sio hizo cells unazosema, wewe ni uhai wako fumbo macho ujiangalie unaona nini?
hujanijibu utaratibu wa kuzaliwa na kufa uliratibiwa na nani ,nimeona ukiandika kawaida ,nipe udhibitisho kawaida ndio inaratibu kuzaliwa na.kufa , swali lingine kawaida ndio kitu Gani kimetokea wapi ? maana wewe unazungumzia ufahamu umesema hauna Imani na kitu chochote?