Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeleta habari za Akili ni mimi au wewe?
Akili haipo katika uhalisia na huwezi kuthibitisha kwamba ipo.
Akili ni neno la kufikirika tu.
Kama unabisha, Thibitisha una akili.
Hata wewe huna hiyo Akili ndio maana mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kama unayo.Nathibitisha kwa kusema wewe huna akili
Believe in you.I don't know these days what to believe and how to believe.
Bidhaa zenyewe unaona zina made from either china sasa iweje ww ukose origin yako,Ww umetoka kwa Mungu na utarudi kwake.God doesn't exist.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu kwanza.Bidhaa zenyewe unaona zina made from either china sasa iweje ww ukose origin yako,Ww umetoka kwa Mungu na utarudi kwake.
Kuna mahali vitabu vya awali kwenye Biblia imeandikwa Mungu alijilaumu kumuumba mwanadamu akaona Kuna mahali alikosea katika kumuumba mwanadamu baada ya kushuhudia ukaidi wa mwanadamu kuanzia Adam mwenyewe aliyemuumba kwanza pale Adam alipomvimbia Mungu live ,Mungu alipomuuliza Adam kwa nini walikula tunda na mkewe Hawa Hali aliwakataza wasile ,Adam akamjibu Mungu kwamba kosa liletwa na mkewe Hawa aliyemuumbia awe mkewe Ile ni kiburi mbele ya muumba wake ,na kibru iliendelea kwa watoto wa Adam , Kaini na Abel .Nakwambia hivi,
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
Sio mnahangaika kuelezea na kufafanua kitu kisicho kuwepo kujidhihirisha chenyewe.
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wasioweza kumkaidi?Kuna mahali vitabu vya awali kwenye Biblia imeandikwa Mungu alijilaumu kumuumba mwanadamu akaona Kuna mahali alikosea katika kumuumba mwanadamu baada ya kushuhudia ukaidi wa mwanadamu kuanzia Adam mwenyewe aliyemuumba kwanza pale Adam alipomvimbia Mungu live
Je huyo Mungu hakujua kwamba Adam na mkewe watakula hilo tunda, Awazuie na kuwadhibiti mapema?,Mungu alipomuuliza Adam kwa nini walikula tunda na mkewe Hawa Hali aliwakataza wasile
Hata huyo Mungu ana makosa na wala hajielewi.,Adam akamjibu Mungu kwamba kosa liletwa na mkewe Hawa aliyemuumbia awe mkewe Ile ni kiburi mbele ya muumba wake ,na kibru iliendelea kwa watoto wa Adam , Kaini na Abel .
Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Kaini baada ya kumuua kaka yake Abel akaenda kujificha Mungu akamtokea live akamuuliza ndugu yako yupo wapi Kaini alajibu hajui na kujibu ovyo hata vizazi vilivyofatia vikawa vibishi kufuata kanuni Mungu alizowawekea .
Nina uhakika wema una nguvu kuliko ubaya , hakuna anayejua huu utaratibu wa watu kuzaliwa na kufa utaisha lini ,wewe jibishie TU hakuna Mungu ubishi wako utaisha siku ukiondoka hapa Duniani ,ukiamua kuwa mfuata wa ubaya ni juu Yako ipo siku Yako utakufa TU na anayeamua kufuata wema nae siku yake itafika TU nini kinabaki ni Dunia na ulimwengu tuliokuta .Nani anatawala hii Dunia na huu ulimwengu tuliokuta Kuna wale wanaosema nature ndio inatawala hao nikauliza nature Iko wapi nionyeshe niione niishuhudia hii ni ndio nature na hiyo nature asili yake ni wapi ? labda mwenye kujua zaidi anifahamishe ...
Binadamu na ujanja wake wote kapewa sayari ya Dunia Earth aitawale kijasho kinamtokaKuna mahali vitabu vya awali kwenye Biblia imeandikwa Mungu alijilaumu kumuumba mwanadamu akaona Kuna mahali alikosea katika kumuumba mwanadamu baada ya kushuhudia ukaidi wa mwanadamu kuanzia Adam mwenyewe aliyemuumba kwanza pale Adam alipomvimbia Mungu live ,Mungu alipomuuliza Adam kwa nini walikula tunda na mkewe Hawa Hali aliwakataza wasile ,Adam akamjibu Mungu kwamba kosa liletwa na mkewe Hawa aliyemuumbia awe mkewe Ile ni kiburi mbele ya muumba wake ,na kibru iliendelea kwa watoto wa Adam , Kaini na Abel .
Kaini baada ya kumuua kaka yake Abel akaenda kujificha Mungu akamtokea live akamuuliza ndugu yako yupo wapi Kaini alajibu hajui na kujibu ovyo hata vizazi vilivyofatia vikawa vibishi kufuata kanuni Mungu alizowawekea .
Nina uhakika wema una nguvu kuliko ubaya , hakuna anayejua huu utaratibu wa watu kuzaliwa na kufa utaisha lini ,wewe jibishie TU hakuna Mungu ubishi wako utaisha siku ukiondoka hapa Duniani ,ukiamua kuwa mfuata wa ubaya ni juu Yako ipo siku Yako utakufa TU na anayeamua kufuata wema nae siku yake itafika TU nini kinabaki ni Dunia na ulimwengu tuliokuta .Nani anatawala hii Dunia na huu ulimwengu tuliokuta Kuna wale wanaosema nature ndio inatawala hao nikauliza nature Iko wapi nionyeshe niione niishuhudia hii ni ndio nature na hiyo nature asili yake ni wapi ? labda mwenye kujua zaidi anifahamishe ...
sio kweli wote tunazaliwa hatujui kitu Wala kuelewa kitu chochote tunazaliwa tunaanza kushangaa kila kitu hata kuongea tunaanza kwa shida .uelewa unapoanza kutuingia baada ya kumaliza simama Dede tunachojua ni kunyonya maziwa na kuanza kutambua kidogo kidogo walezi wako umri wa kuanza nursery tayari tunaanza kujua mema na mabaya ndio kipindi hiki vitu kama udokozi,ugomvi,ukarimu,upendo huanza kijitokeza na tunapokuwa Kila mmoja Kuna tabia atakuwa nayo ukubwani vinaongezeka na vingine,Kuna nguvu ya utambuzi Kila binadamu anazaliwa nayo ya kujua mema na mabaya hata anayeamua kuwa mtenda mabaya ameamua kuushinda wema ndani yake ndipo mafundisho ya dini na elimu Dunia inakuja kutanaabisha kwamba mema asili yake ni uungu na vitu vinavyoonekana.na visivyo onekana vimeumbwa na Mungu muumba na pia mabaya yote unakuja.kufundishwa yametokana na shetani hilo.nalo somo lingineEveryone was born as an Atheist until when you were indoctrinated with faiths and religion.
Una uthibitisho upi kwamba binadamu alipewa sayari ya Dunia?Binadamu na ujanja wake wote kapewa sayari ya Dunia Earth aitawale kijasho kinamtoka
Kama unakiri kabisa kwamba kila mtu alizaliwa na kila mtu anazaliwa hajui kitu, Aliyesema kuna Mungu yeye alijuaje?sio kweli wote tunazaliwa hatujui kitu Wala kuelewa kitu chochote tunazaliwa tunaanza kushangaa kila kitu hata kuongea tunaanza kwa shida .uelewa unapoanza kutuingia baada ya kumaliza simama Dede tunachojua ni kunyonya maziwa na kuanza kutambua kidogo kidogo walezi wako umri wa kuanza nursery tayari tunaanza kujua mema na mabaya ndio kipindi hiki vitu kama udokozi,ugomvi,ukarimu,upendo huanza kijitokeza na tunapokuwa Kila mmoja Kuna tabia atakuwa nayo ukubwani vinaongezeka na vingine,Kuna nguvu ya utambuzi Kila binadamu anazaliwa nayo ya kujua mema na mabaya hata anayeamua kuwa mtenda mabaya ameamua kuushinda wema ndani yake ndipo mafundisho ya dini na elimu Dunia inakuja kutanaabisha kwamba mema asili yake ni uungu na vitu vinavyoonekana.na visivyo onekana vimeumbwa na Mungu muumba na pia mabaya yote unakuja.kufundishwa yametokana na shetani hilo.nalo somo lingine
Imani inaambatana na uhitajiUna uthibitisho upi kwamba binadamu alipewa sayari ya Dunia?
Alipewa na nani?
Huyo aliyempa binadamu sayari ya Dunia aitawale,
Ni nani?
Alitoka wapi?
Huko alipotoka ni wapi?
Na kuliumbwa na nani?
Kama unakiri kabisa kwamba kila mtu alizaliwa na kila mtu anazaliwa hajui kitu, Aliyesema kuna Mungu yeye alijuaje?
Na ana uthibitisho upi wa kuwepo huyo Mungu?
Au mnaleta hekaya zenu za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule.
,milango mitano ya ufahamu ya mwanadamu haiwezi kumtambua Mungu ,Mungu utamuona kupitia imani ,Kila binadamu ana Imani yake
Hata wewe ulizaliwa hujui kitu ,Wala hujui hata ulikotoka labda tudhibitishie hapa wewe kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi ? na lazima utakufa tudhibitishie hapa ukifa pia utaenda wapi ?Imani inaambatana na uhitaji
mambo ya Mungu ni Imani kama uhitaji kuwa na imani kuwa Mungu yupo ila kipa unachoamini mfano unajitaanabisha kwamba wewe unaamini Mungu hayupo hiyo ni imani ,nawe dhibitisha kwamba Mungu hayupo . Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa uwezo wa kuchagua mema au mabaya ,mafundisho tangu enzi yanaonyesha uwepo wa Mungu hata ibada zake na.miongozo yake ipo ,Mimi nimewahi kufuata ratiba ya maombi kwa kutumia Bible na kanuni zake nikaona zikinisaidia na kusaidia wengine ,sasa wewe ndio udhibitishe kwamba Mungu na utudhibitishie wewe ulitoka wapi na utaishia wapi?
au wewe ni mmoja WA wale wanaomini mtu hafi akifa haozi,akioza hanuki akinuka anakuwa marashi🤭Hata wewe ulizaliwa hujui kitu ,Wala hujui hata ulikotoka labda tudhibitishie hapa wewe kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi ? na lazima utakufa tudhibitishie hapa ukifa pia utaenda wapi ?
Mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile.Imani inaambatana na uhitaji
mambo ya Mungu ni Imani kama uhitaji kuwa na imani kuwa Mungu yupo ila kipa unachoamini mfano unajitaanabisha kwamba wewe unaamini Mungu hayupo hiyo ni imani ,nawe dhibitisha kwamba Mungu hayupo .
Mimi nilitoka kwa wazazi wangu, Baba na Mama yangu.Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa uwezo wa kuchagua mema au mabaya ,mafundisho tangu enzi yanaonyesha uwepo wa Mungu hata ibada zake na.miongozo yake ipo ,Mimi nimewahi kufuata ratiba ya maombi kwa kutumia Bible na kanuni zake nikaona zikinisaidia na kusaidia wengine ,sasa wewe ndio udhibitishe kwamba Mungu na utudhibitishie wewe ulitoka wapi na utaishia wapi?
Kabla ya kuzaliwa sikuwepo popote pale.Hata wewe ulizaliwa hujui kitu ,Wala hujui hata ulikotoka labda tudhibitishie hapa wewe kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi ?
Nikifa siendi mahali popote pale.na lazima utakufa tudhibitishie hapa ukifa pia utaenda wapi ?
kwa hiyo unakubali kifo kipo na kuzaliwa kupo ,Sasa unasema ulitoka kwa wazazi wako baba na Mama ,kabla ya baba yako na mama yako ulikuwa wapi? maana umejijua tu ulitoka Kwa baba Yako na mama yako ,ukifa unasema ndio mwisho wako hapo ni uhai umekutoka ,nasubiri jibu ulikuwa wapi kabla ya baba Yako na mama Yako na ufahamu wako unaishia ukifa ndio mwisho wako hapo unijibu uhai wako unaokutoka unijibu unaenda wapi? pia unasema kawaida ya wanadamu lazima wafe hiyo kaiwada ya kufa nani kaileta ?Mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile.
Mimi siamini kwamba Mungu hayupo, Bali najua kwa uhakika kwamba hakuna Mungu, Kwa sababu hakuna uthibitisho wowote ule wa uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.
Ni hekaya zenu za vitabuni tu zisizo na uthibitisho wowote ule.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.
Sasa, Unathibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli na si uongo?
Unathibitisha vipi kwamba kuamini kwako ni ukweli na si uongo?
Mimi nilitoka kwa wazazi wangu, Baba na Mama yangu.
Wala sikuumbwa na huyo Mungu. Kwa sababu huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo.
Mimi nitaishia kufa kama ilivyo kawaida kwa kila kiumbe hai lazima kife.
Mimi siamini kwenye kuamini, Sina imani ya aina yeyote ile.au wewe ni mmoja WA wale wanaomini mtu hafi akifa haozi,akioza hanuki akinuka anakuwa marashi🤭
Sikuwepo popote pale.kwa hiyo unakubali kifo kipo na kuzaliwa kupo ,Sasa unasema ulitoka kwa wazazi wako baba na Mama ,kabla ya baba yako na mama yako ulikuwa wapi?
Sikuwepo popote pale.maana umejijua tu ulitoka Kwa baba Yako na mama yako ,ukifa unasema ndio mwisho wako hapo ni uhai umekutoka ,nasubiri jibu ulikuwa wapi kabla ya baba Yako na mama Yako na ufahamu wako
Siendi mahali popote.unaishia ukifa ndio mwisho wako hapo unijibu uhai wako unaokutoka unijibu unaenda wapi?
Hakuna aliyeileta.pia unasema kawaida ya wanadamu lazima wafe hiyo kaiwada ya kufa nani kaileta ?
chanzo cha ukoo wenu mlianzia wapi wee unamjua baba Yako na mama yako tu mababu na mabibi wa mabibi zako walitoka wapi ? au wewe ni muumini binadamu alitokana na sokwe?kwa hiyo unakubali kifo kipo na kuzaliwa kupo ,Sasa unasema ulitoka kwa wazazi wako baba na Mama ,kabla ya baba yako na mama yako ulikuwa wapi? maana umejijua tu ulitoka Kwa baba Yako na mama yako ,ukifa unasema ndio mwisho wako hapo ni uhai umekutoka ,nasubiri jibu ulikuwa wapi kabla ya baba Yako na mama Yako na ufahamu wako unaishia ukifa ndio mwisho wako hapo unijibu uhai wako unaokutoka unijibu unaenda wapi? pia unasema kawaida ya wanadamu lazima wafe ohiyo kaiwada ya kufa nani kaileta ?