God Is Zero

Sasa ukipata zero kwenye mtihani itakuwaje hiyo?

Namuulizia mchizi wangu hapa kijiweni.
 
HHap
Hapa wale watambuzi...watakuwa pamoja nawe. Kwenye upande huu mmoja....
Wao wanaamini hakuna Mungu wa kumuomba...nguvu ya uungu wanayo wao wenyewe Kama viumbe. Sasa hii nguvu inatoka wapi...ndio hapo kwenye utupu(emptiness)/kutokuwa na kitu(nothingness). Ndio hiyo zero Sasa. Wao suala la kusema Mungu yupo na anatusikia tukimuomba..na atatuadhibu tukizingua wanalikataa...kwa sababu hizo ni tabia za mtu(personal). Na Mungu kwao Ni nguvu...
Ni kanuni pekee zinahitajika kuipata na kuiamuru nguvu hiyo. Sio kuiomba Ni kuiamuru kwa kufuata kanuni.
 
Mungu ni roho na ndio maana hadi ufe ndio utamwona so kama unamtafuta Mungu kuwa mlokole au kufa ukamwone maan huto mwona ukiwa hai kwasababu bado ndani yake una Mungu ila ukifa ndio roho inatoka inaacha mwili.
Na unamwona Mungu
 
Mda mwingne unaweza jiuliza hiv kwel Mungu yupo?? Na kama yupo mbn watu innocent ndo wanateseka? Kisha unajiulz na kujijibu labda tunamwabudu Mungu asiye sahii,, Ila kusema ukwel hakuna anayeifahm dunia
 
Mungu ni roho na ndio maana hadi ufe ndio utamwona so kama unamtafuta Mungu kuwa mlokole au kufa ukamwone maan huto mwona ukiwa hai kwasababu bado ndani yake una Mungu ila ukifa ndio roho inatoka inaacha mwili.
Na unamwona Mungu
Roho maana yake nini mkuu??
 
Hii ya kuanza kuhesabu vidole kwa kuanza na 0 ndio nasikia leo
 
Achana na namba hizo, elezea kitu tangible sivyo hii itakua haina tofauti na hekaya nyingine
 
Mkuu hongera kwako umedadavua vizuri sana. Umejaribu vyema na umetumia Akili ya Juu sana kumtafakari Mungu kwa Namba, sio Jambo Dogo. Mkuu japo wapo watakao kupinga For Nothing juu ya Gods existence.

Ila Mungu Yupo na anaishi na Ni Halisi kabisa. Kwasababu yapo mambo Mengi ambayo ukifikiri kibinadamu ni kuwa Hayawezekani kabisa lakini kwa Mungu muanzilishi wa Yote. Yanawezekana

Mungu ni Nguvu( infinity power) nguvu zake hazina mwanzo wala mwisho

Conc; God is Nothing, But that Nothing Gives Meaningful of Something. Without Nothing There is No Something.

Mungu ni utupu, lakini huo Utupu ndio uleta maana sahihi kwa kua kitu pia. Kama hakuna Utupu basi na hakuna chochote. Hapa huitaji akili kubwa sana kuelewa.

All the Best
 
Ukitaka kumwona Mungu uwe na pesa, Mungu hana mda na masikini.
Mkuu, nilitaka nikupuuze tu nikuache

Ila nimeona utapotea Kimawazo, kama ukiendelea kuwaza hizo Njegere zako.

Mungu hayuko ivo unavyo muwazia

Ila kama hutaki sawa. All the Best
 
Hapa tanzania kila nabii ana mungu wake (sijasema Mungu). Mungu wa suguye ni tofauti na wa mwamposa ambae ni tofauti na mzee wa upako ambae anatofautiana na mungu wa kakobe ambae hapatani na mungu wa mama rwakatare huku akiwa na bifu na mungu wa gamanywa au yule wa richard mwacha. Jor davie nae mungu wake sijui anafanana na mungu wa nani hapo mana wote wanamabifu na kugombania waumini tuu.
 
Halafu pia ona mfano wa kamtiririko;
10 haimo katika 9 kumi ni mpya ni kitu kipya
Lakini 9 imo katika 10, in fact kumi ni tisa na ziada fulani tu.
Kama ambavyo kumi inayo tisa, ndivyo hivyo hivyo tisa ni nane na ka ziada fulani tu.
8 ni mpya lakini inayo 7 na ka zaidi. Mambo ni vivyo hivyo kwa 6,5,4,3 hadi mbili zote zinao wa chini yake na nyongeza kiasi.
Sasaa tukija kwa moja inakuwa wazi kabisa ni ongezeko kiasi kutoka kwa sifuri[0]!
Kumbe sifuri ndio fundamental one thing ambayo ipo pooote na ni kama haipo popote [nothing]

Ni kama msanii mmoja alipata kunena kuwa; Sifuri ndo ya kwanza, moja ni ya pili. Cha ajabu ya pili inaanza na ya kwanza inasubiri - Songa
Mfano wa uzuri na umuhimu wa sifuri katika kuyafaidi maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…