FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Sasa ukipata zero kwenye mtihani itakuwaje hiyo?
Namuulizia mchizi wangu hapa kijiweni.
Namuulizia mchizi wangu hapa kijiweni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IdiotMpaka hesabu zinatumika, mantiki zinatumika halafu bado unasema hizo zote ni hisia!!?
Jiangalie isijekuwa wewe ndiyo unayetumia hisia...
Hapa wale watambuzi...watakuwa pamoja nawe. Kwenye upande huu mmoja....Habari wakuu, natumai mu wazima
rejea kichwa cha habari, nimeleta hii mada kwa kwakuwa kwa mtazamo wangu na upeo wangu niliwonao nimeona kuna mkanganyiko juu ya uumbaji wa dunia na namna watu wanavyovutana juu ya dini zao.
Wengine huuliza Mungu ni nani, wengine huuliza kwanini shetani, wengine huuliza Mungu ni nini, wengine hawaamini juu ya uwepo wake, wengine wanaamini, wengine wanatumia sayansi kumdisprove kwa logic, wengine husema logic kwake haitoshi bali imani tu and .....ok!
Katika mathematics kuna kitu kinaitwa co-ordinate geometry ambayo huwa na x and y-axis, horizontal and vertical axis, zote hizi zimekuwa integrated kwenye point 0 ama center of the starting point kwa hizo axis , ukitumia tu akili ndogo ya kwaida 0 ndio huzalisha 1, na pia huzalisha -1 , kwakifupi number inayowakilisha utupu ama "hakuna kitu"ama "nothing" ( 0 ) ndio peke yake hutoa au kuwa chanzo cha mwanzo wa hasi na chanya, pasipo chenyewe kuanzishwa na chochote zaidi ya utupu wake halisi yani unknown cause that exists from an unknown source which technically means "nothing created something but in two aspects positive manner and negative manner.
Hizo number wanasema ni infinity ila mimi najua infinity ni number 9 na hizo zingine hujirudia tu, ukichukua table ya tisa
9*1=9
9*2=18, 1+8=9
9*3=27, 2+7=9
N.k yaani table yote italeta 9 hata ukizidisha na decimals, kingine vidole vyako vipo 10 lakini unahesabu kuanzia 0-9, number za simu zipo kumi ila ni kuanzia 0-9, hapa najaribu kukuonesha tu kuhusu my opinion on infinity wise.
Besides 0 on both sides, there is 1 and -1, good and evil, male and female, hot and cold and so much more nikimaanisha evil imetoka from source ya 0 ambayo ni unknown kama ilivyo good pia.
Jaribu kuangalia unapoiacha 0 kuelekea upande wa joto kunasehemu ukifika either utaungua ama kufa kabisa, vilevile unapoiacha zero pia kuelekea kwenye baridi kunasehemu utaganda na kufa kabisa, ndio maana sisi tuna temperature between 0-100 na sio -1 to -100, number ya temperature yetu ndio level yetu ya uumbaji from dunia , malaika, maji and etc mpaka kufikia sisi na upande wa pili ndo jehenum, moto, ibilisi, majini kuendelea huko, lakini 0 inajitegemea na haiwezi kujulikana kamwe wala kufananishwa na hizo number zingine maana ndo kianzilshi na peke yake ndo kikamilifu , hata umbo la duara maana yake haijulikani starting point na ending point inachojulikana ni utazunguka hilo duara milele kwa sababu halina mwanzo wala mwisho.
Sio mwandishi mzuri sana ila natumai umepata nilichokusudia kuleta mezani.
Asante.
Roho maana yake nini mkuu??Mungu ni roho na ndio maana hadi ufe ndio utamwona so kama unamtafuta Mungu kuwa mlokole au kufa ukamwone maan huto mwona ukiwa hai kwasababu bado ndani yake una Mungu ila ukifa ndio roho inatoka inaacha mwili.
Na unamwona Mungu
Hii ya kuanza kuhesabu vidole kwa kuanza na 0 ndio nasikia leoHabari wakuu, natumai mu wazima
rejea kichwa cha habari, nimeleta hii mada kwa kwakuwa kwa mtazamo wangu na upeo wangu niliwonao nimeona kuna mkanganyiko juu ya uumbaji wa dunia na namna watu wanavyovutana juu ya dini zao.
Wengine huuliza Mungu ni nani, wengine huuliza kwanini shetani, wengine huuliza Mungu ni nini, wengine hawaamini juu ya uwepo wake, wengine wanaamini, wengine wanatumia sayansi kumdisprove kwa logic, wengine husema logic kwake haitoshi bali imani tu and .....ok!
Katika mathematics kuna kitu kinaitwa co-ordinate geometry ambayo huwa na x and y-axis, horizontal and vertical axis, zote hizi zimekuwa integrated kwenye point 0 ama center of the starting point kwa hizo axis , ukitumia tu akili ndogo ya kwaida 0 ndio huzalisha 1, na pia huzalisha -1 , kwakifupi number inayowakilisha utupu ama "hakuna kitu"ama "nothing" ( 0 ) ndio peke yake hutoa au kuwa chanzo cha mwanzo wa hasi na chanya, pasipo chenyewe kuanzishwa na chochote zaidi ya utupu wake halisi yani unknown cause that exists from an unknown source which technically means "nothing created something but in two aspects positive manner and negative manner.
Hizo number wanasema ni infinity ila mimi najua infinity ni number 9 na hizo zingine hujirudia tu, ukichukua table ya tisa
9*1=9
9*2=18, 1+8=9
9*3=27, 2+7=9
N.k yaani table yote italeta 9 hata ukizidisha na decimals, kingine vidole vyako vipo 10 lakini unahesabu kuanzia 0-9, number za simu zipo kumi ila ni kuanzia 0-9, hapa najaribu kukuonesha tu kuhusu my opinion on infinity wise.
Besides 0 on both sides, there is 1 and -1, good and evil, male and female, hot and cold and so much more nikimaanisha evil imetoka from source ya 0 ambayo ni unknown kama ilivyo good pia.
Jaribu kuangalia unapoiacha 0 kuelekea upande wa joto kunasehemu ukifika either utaungua ama kufa kabisa, vilevile unapoiacha zero pia kuelekea kwenye baridi kunasehemu utaganda na kufa kabisa, ndio maana sisi tuna temperature between 0-100 na sio -1 to -100, number ya temperature yetu ndio level yetu ya uumbaji from dunia , malaika, maji and etc mpaka kufikia sisi na upande wa pili ndo jehenum, moto, ibilisi, majini kuendelea huko, lakini 0 inajitegemea na haiwezi kujulikana kamwe wala kufananishwa na hizo number zingine maana ndo kianzilshi na peke yake ndo kikamilifu , hata umbo la duara maana yake haijulikani starting point na ending point inachojulikana ni utazunguka hilo duara milele kwa sababu halina mwanzo wala mwisho.
Sio mwandishi mzuri sana ila natumai umepata nilichokusudia kuleta mezani.
Asante.
Achana na namba hizo, elezea kitu tangible sivyo hii itakua haina tofauti na hekaya nyinginemtatengeneza yani mimi na nani?
conspiracy ni term iliyoundwa na CIA kudisprove uhalisia katika nyanja nyingi ili uweze kuwa indoctrinated accurately.
Life inawezekana bila mathematics?
Unaweza anza chochote bila 0?
Mimi nimekurahisishia tu,ila kama unataka uthibitisho wake fata maelekezo yake atajidhihirisha kwako very simple.
Mkuu, nilitaka nikupuuze tu nikuacheUkitaka kumwona Mungu uwe na pesa, Mungu hana mda na masikini.
Njegere zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji113][emoji113]Mkuu, nilitaka nikupuuze tu nikuache
Ila nimeona utapotea Kimawazo, kama ukiendelea kuwaza hizo Njegere zako.
Mungu hayuko ivo unavyo muwazia
Ila kama hutaki sawa. All the Best
Pole, maana kwa ulichojibu akitokea external observer ataona umejicomfirmia mwenyewe.Idiot