Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Humjui Lema weweHuyu Lema alikuwa anategemea Ubunge, alipwe million 12 kwa mwezi, itakuwa Bomba imekata , nataka kujua huko nje anafanya mishe Gani?
Umepost nini?Leo kwenye maria space iliyokuwa na mada ya mfumuko wa Bei man of the space was Lema. Ameongea mambo mazito na muhimu Kwa Taifa Leo.
Moja ya jambo kubwa ninalotaka kushare nawewe ni hil
Kisa yeye analishwa na mabeberu ndo anajiona siyo jobless, atuambie anafanya kazi gani huko ughaibuni huyu baba wa nyumbani.
kwa hiyo kumbe job security wanayo!Kaongea ukweli mchungu sasa mwalimu wa sekondari au shule ya msingi hawezi kusave hata laki tatu kila mwezi na yuko kazini, matumaini yote anahamishia kujifariji kwenye job security na pension
kwa hiyo kumbe job security wanayo!
na pesheni wanayo!
basi Lema hawezi kuwa "kaongea ukweli mchungu" kwa saab Lema kasema watumishi ni jobless
joblessness haina job security na haina pensheni
excuse me Sir, but you are contradicting yourself...
Wacha kujiliwaza, huwezi kusema umeajiriwa halafu muda wako wote ukiwa kazini unaishi kwa mawazo sababu ya kipato kidogo cha ajira yako.kwa hiyo kumbe job security wanayo!
na pesheni wanayo!
basi Lema hawezi kuwa "kaongea ukweli mchungu" kwa saab Lema kasema watumishi ni jobless
joblessness haina job security na haina pensheni
excuse me Sir, but you are contradicting yourself...
Anaosha masufuria kwenye restaurant. Kumbuka kisomo hana, ufundi hana, kingereza hana, kifaransa hana. Sasa unategemea atafanya kazi gani zaidi ya kuosha masufuria.Huyu Lema alikuwa anategemea Ubunge, alipwe million 12 kwa mwezi, itakuwa Bomba imekata , nataka kujua huko nje anafanya mishe Gani?
Kweli hajui kuwa ni jambazi mwizi wa magariHumjui Lema wewe
Humjui Lema bana.Huyu Lema alikuwa anategemea Ubunge, alipwe million 12 kwa mwezi, itakuwa Bomba imekata , nataka kujua huko nje anafanya mishe Gani?
Mchaga ni sawa na bata " anaishi nchi kavu na majini"Huyu Lema alikuwa anategemea Ubunge, alipwe million 12 kwa mwezi, itakuwa Bomba imekata , nataka kujua huko nje anafanya mishe Gani?
Tafakari ujumbe wake jiulize anaekufa mapema ni nani Kati ya mfanyanzi na machinga kwa stress za maisha.Huyu Lema alikuwa anategemea Ubunge, alipwe million 12 kwa mwezi, itakuwa Bomba imekata , nataka kujua huko nje anafanya mishe Gani?