Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaona. Ulitaka Daimond aseme kitu gani ? wakati wewe Lema unafanya Mambo ya uporaji na wizi wa magari mwanamuziki gani alipaza sauti ? Uliondoka ulisema umeibiwa kura , Sasa so urudi ufungue kesi ? Unafikiri watanzania wote ni vilaza ? 2020 mi nilikuwa wakala wako na unajua mawakala wote tulisaini form za kukubali matokeo , uliibuwa wapi ? Endelea kudanganya watuAliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.
Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!
View attachment 1810929
Siyo wasanii wote wamekuwa nominated BET. Subiri na hao wengine waliounga mkono udikteta wawe nominated kokote watakapo hitaji support ya public uone kama hawajaanzishiwa kampeni ya kuwakwamishaMbona wasanii karibia wote walimuunga mkono magu kwanini mnakomaa na diamond tu ndio maana watu wanahisi mna agenda yenu kwa huyo dogo tofauti na hiki mnachotuaminisha
Kwanini huyu mjomba tu? Kuna wasanii kibao Tanzania ni wanachama wa CCM na wamefanya kampeni kila mtu aliona, Kwanini yeye tu?
Hawajaingia BET.
Kuliko kuja na hizi porojo, mnaonaje mkimsaidia msanii wenu ROMA kushinda hii tuzo, maana Nae kawa nominated [emoji23]Hawajaingia BET.
Jamaa mwenyewe ni mfagizi huko majuuKuliko kuja na hizi porojo, mnaonaje mkimsaidia msanii wenu ROMA kushinda hii tuzo, maana Nae kawa nominated [emoji23]
godbless lema hzo ni njaa tu zinakusumbua.Hao bet wanajua kuwa kipind cha uchaguz wa nchi yeyote ile wanamuzik wanahak ya kuchagua chama cha kukiunga mkono.Mbona uchaguz wa marekan wakina jay z walikuwa wanajulikana wapo upande wa bidden.km njaa zimekuzid huko ubelgij njoo mond atakupa kaz na ww utakuwa chawa wake,utakuwa unasaidiana na baba levo.#go diamond goAliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.
Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!
View attachment 1810929
Koma kabisa hebu toa huu ushuzi tangu lini Mondi akawa zaidi ya chadema? ccm yenyewe pamoja na kukomaa na kuota mvi huko johanesburg lakini inaugwaya mtiti wa chadema hadi ikimbiliea polisi na usalama wa taifa ili kushinda wakisaidiwa na magari ya deraya na washawasha acha kuonesha upumbavu wako.Hivi hawa hawajui kuwa Diamond is bigger than chadema. hivi diamond agombee urais na mbowe/lissu/lema nani atapata kura nyingi
Kuliko kuja na hizi porojo, mnaonaje mkimsaidia msanii wenu ROMA kushinda hii tuzo, maana Nae kawa nominated [emoji23]
Mondi ni zaidi ya chadema. Unaweza bisha sababu ni jadi yenu ila ndio ukweli.Koma kabisa hebu toa huu ushuzi tangu lini Mondi akawa zaidi ya chadema? ccm yenyewe pamoja na kukomaa na kuota mvi huko johanesburg lakini inaugwaya mtiti wa chadema hadi ikimbiliea polisi na usalama wa taifa ili kushinda wakisaidiwa na magari ya deraya na washawasha acha kuonesha upumbavu wako.
Ukome kuifananisha cdm na upuuzi wa aina yoyote tena nisije sikia unarudia maana waweza jikuta umepasukiwa yai maeneo ya kinyume cha mdomo chunga sana usije jikuta umezoa laana hadi kizazi cha nne, ina maana huna hoja? kwa hiyo mondi akigombea na Lema Arusha kwa akili zako za kukopa Mondi atashinda? hivi unawajua vijana wa ARACHUGA?
Ndio maana wanatumia nguvu kubwa kupambana naeMondi ni zaidi ya chadema. Unaweza bisha sababu ni jadi yenu ila ndio ukweli.
Ni wivu mkuu!..Na Mie sielewi why diamond pekee?
Ni vitu vya ajabu sana
Utawala kandamizi kwa mujibu wa nani?Hana haki ya kujihusisha na dikteta. Issue siyo kuwa mwanaccm issue ni kuunga mkono utawala uliokuwa kandamizi Tanzania.