Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.

Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!

View attachment 1810929

Watashindanaaaa lakini hawatashinda! Mungu hatoki kijijini kwenu ww Lema!
 
Kampeni iwe ya kitaifa.
harmonize_kondeboy.jpg
 
Hivi demokrasia, haki na uhuru wanaopigania Chadema ni upi sasa? Je Diamond haruhusiwe kushabikia chama chochote?
 
Usimwekee Lema maneno mdomoni. Hakuna sehemu Lema kasema chama fulani. Amesema dikteta Magufuli.
Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.

Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.

Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
 
Naam ana uhuru wa kuungana na madikteta na kuwa sehemu ya ugandamizaji wa haki za watu. Hata akina Chakachaka, Brenda, Lucky Dube walikuwa na uhuru wa kuwapigia kampeni Makaburu, siyo?
Hivi demokrasia, haki na uhuru wanaopigania Chadema ni upi sasa? Je Diamond haruhusiwe kushabikia chama chochote?
 
Ukitaka kujua baadhi ya wabongo wenye akili fupi soma hii mada
 
Mshenz Sana huyu kijana
Ngoja akipate
 
Inasikitisha hiz tuzo mpk zipite mond kayaona
 
Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.

Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.

Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
Sijui ila nahisi Lema sasa kama kachanganyikiwa na mfumo wa siasa wa sasa uko tofauti na yeye anavyokwenda!
Watanzania ni kama wengi hawapendi tena siasa na mihemko wanatamani mabadiliko yanayoweza kuwajengea tija kama taifa sasa sielewi mtu kama Lema kwenda kumvuruga Diamond kisa anauhuru wa kushabikia alichonacho kama ni sawa kifupi hiyo vita haiwezi atapoteza asubuhi kweupe! wivu ni kitu kibaya sana.
 
Mama Samia hana adui
Angekuwepo Maguful wala wasingekuwa wana habari na Daimond wangekuwa busy na magu
sasa ndo naamini, magu alikuwa na influence kubwa hapa nchini na wa pili ni diamond, fullstop..!!! siku zote mti uliofungasha matunda ya kucheba haukosi kupitiwa na warusha mawe.! ila all in all mond anafaidika sana kwenye hili sakata kuliko atakachopoteza... hili sakata limemfanya awe maarufu na ndo the talk of the town hapa mjini... ndo maana kaamua kulikalia kimya
 
Back
Top Bottom