KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Nadhani siasa za Tanzania zinachukua Sura mpya......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi futeni nyimbo za wasanii wote Tanzania wa bongo fleva maana wote walikua CCM.Unamuharibia mwenzako kwa hiyo diamond alikuwa na haki kushabikia wauuaji?
Nadhani neno DEMOKRASIA hapa nchini lina tafsiri nyingine........Washafilisika kisera.Sasa huo uhuru wanao upigania ni wa aina gani?
Demokrasia maanake ni kukubali kutokukubaliana, haijalishi mwezako kachagua nini. Kila mtu ana uhuru wa wa kuchagu na kutoa maoni.
Hata mm hapa ndio nashangaa, Harmonize, Nandy, Kiba mbona hawaguswi. Au kwa kuwa hawana ushawishi sana kama Domo.Wasanii wengi walifanya kampeni CCM.
Sijui Kwanini NI diamond PEKEE.[emoji848][emoji848][emoji848].
Bora NI Baki sina CHAMA
Hata mm hapa ndio nashangaa, Harmonize, Nandy, Kiba mbona hawaguswi. Au kwa kuwa hawana ushawishi sana kama Domo.
Msingi mkuu wa chama cha siasa ni ajenda......CHADEMA wana viongizi wa hovyo sana yaani...
Hana haki ya kujihusisha na dikteta. Issue siyo kuwa mwanaccm issue ni kuunga mkono utawala uliokuwa kandamizi Tanzania.Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.
Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.
Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
Sasa Kama Ni hvyo waondoeni wasanii wote wawe cdm CYO yeye peke akeHana haki ya kujihusisha na dikteta. Issue siyo kuwa mwanaccm issue ni kuunga mkono utawala uliokuwa kandamizi Tanzania.
Hao watu wana shida sana.Nadhani neno DEMOKRASIA hapa nchini lina tafsiri nyingine........
Hawalijui hilo[emoji23]hivi hawa hawajui kuwa Diamond is bigger than chadema. hivi diamond agombee urais na mbowe/lissu/lema nani atapata kura nyingi
Ahahaaah!Ahahaha huyu sasa amechoka kisiasa
Bado hauwezi kumpangia mtu kitu cha kumsupport au kupinga. Wewe umefanya nini katika harakati za kuupinga huo udhalimu? Au ndo walewale mbwa mnaobweka nyuma ya keyboard na kuandika hashtags mitandaoni, mkiambiwa mjitokeze mnaanza kujinyenyea.Kuwa mwanaCcm haikufanyi ushindwe kupinga udhalimu. Hiki kitu naona wengi hamuelewi.
Nilichokiandika ni kikubwa sana kwa uelewa wako.Bado hauwezi kumpangia mtu kitu cha kumsupport au kupinga. Wewe umefanya nini katika harakati za kuupinga huo udhalimu? Au ndo walewale mbwa mnaobweka nyuma ya keyboard na kuandika hashtags mitandaoni, mkiambiwa mjitokeze mnaanza kujinyenyea.
Kinachowasumbua ni wivu wa maisha tu, na ukweli ni kwamba diamond ni mkubwa kuliko hata hiyo CHADEME ndomaana tangu mmeanza hizi vurugu zenu, dogo katulia tu.
Ni mjinga pekee ndiye atakaeacha kuihusisha CHADEMA juu ya huu upumbavu ilihali viongozi wake ndio wamekuwa mstari wa mbele katika hii kampeni uchwara.Ungeandika bila neno chadema ungeonekana una maana! ILA kwa sababu unetanguliza ujinga na akiIi unaitumia tu kutafuta herufi za kutype na Sio kuwa unachotype haya ndo madhara yake
Acha uongo wewe, Kanye West alikuwa upande wa Trump na hakuna dalili zozote za career yake kufa. Tokeni mpambanie haki zenu na sio kulialia upambanaji kutoka kwa mwanaume mmoja. Nyinyi mjifiche kwa fake IDs alafu mtegee diamond ajitokeze? Mdude yuko wapi?Ni kwa sababu tu sisi wabongo ni wajinga. Ila nchi kama US kitendo cha kujihusisha na serikali ambayo iko against na matakwa ya wengi lazima uzike Carrier yako.
Kwani Crisette Michelle aliishia wapi baada ya kuperform kwenye Trump inauguration?
Carrier yake ilifia palepale hata haikuchukua miezi mingi.
Lakini $75,000 ilitosha kuzika Carrier yake.
Haya endelea kubweka huku mitandaoni.Nilichokiandika ni kikubwa sana kwa uelewa wako.