42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Sijakuambia Chrisette alikuwa upande wa Trump ninekuambia aliperform kwenye Trump inaguration na ndio carrier yake ilipoanza kufa na haikuchukua muda.Acha uongo wewe, Kanye West alikuwa upande wa Trump na hakuna dalili zozote za career yake kufa. Tokeni mpambanie haki zenu na sio kulialia upambanaji kutoka kwa mwanaume mmoja. Nyinyi mjifiche kwa fake IDs alafu mtegee diamond ajitokeze? Mdude yuko wapi?
I wonder hivi vitu vidogo vinakushinda kuelewa na umekaza shingo.