Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

Hakuna mtu mwenye akili timamu ampigie diamond kura.

Ni low life niggers kama wewe ndo mnamuona role model wenu.
Unaposema low life niggers, una maanisha wale waliowapigia kura akina Sugu na P. Jay?
 
Sio rahisi kama anavyodhani. Hiyo sio mitqndao ya chadema...
Ila ni mitandao ya mabeberu. Kama ulisoma ile petition ukailelewa neno kwa neno na una waelewa misimamo yao ilivyokuwa kwa waliotajwa mule basi kaka Diamond kwisha habari yake.

Mimi ni interested observer tu sina team.
 
Wanaharakati wamepatwa na mhaho...sasa wasanii walosupport ccm si unajaza coaster hata 3
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ampigie diamond kura.

Ni low life niggers kama wewe ndo mnamuona role model wenu.

Sure, lakini ni akili timamu kushinikiza kazi zake kuondolewa Youtube (if at all inawezekana).
 
Sasa Kama Ni hvyo waondoeni wasanii wote wawe cdm CYO yeye peke ake
Wewe ni mgumu sana kuelewa. Nimekwambia msanii kuwa ccm siyo kosa. Kosa ni kushabikia utawala kandamizi. Mbona wenzake walinyamaza na ni wanaccm?

Yeye alijitokeza wazi wazi kumuunga mkono dikteta Magufuli. Mwisho wake upo karibu sana kuliko unavyodhani
 
Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.

Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.

Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
Mzee mbona wasanii wengi wapo CCM?
tatizo kipindi watu wanatekwa yeye akatoa wimbo wa " nikae kimya"
Aangalie wakina Davido wanafanyaje kunapokuwa na mambo ya kitaifa
 
Mzee mbona wasanii wengi wapo CCM?
tatizo kipindi watu wanatekwa yeye akatoa wimbo wa " nikae kimya"
Aangalie wakina Davido wanafanyaje kunapokuwa na mambo ya kitaifa
Wale wanafanya vile kwakuwa wanakuwa na kundi kubwa la wananchi nyuma yao, hapa Tz wananchi ni wapumbavu tu, atajitokeza kisha akishikwa ntaanza kumcheka tena.
 
Ni kitu kisichowezekana... diamond hana elimu ya makaratasi lakini ana akili kubwa sana ya maisha... mtu mwenye lengo la kukufanyia ubaya huwa anafanya kimyakimya lakini sio kama lema, mpaka atafute public sympathy... Diamond namkubali sana kwa strategies zake na msishangae akiibuka mshindi katika hili... time will tell
 
Huenda Mondi ana kosa kwa kushabikia utawala uliopita,lakini ilikua rahisi kukataa kuwapigia kampeni Ccm?,msanii gani alikua na uthubutu wa kukataa kupanda kwenye majukwaa ya kampeni,leo naamini ukubwa jalala ukiahakuwa kioo cha jamii kila mtu anafosi uwe upande wake.
 
Inadhihirisha jamaa ni mkubwa mno. Mbona yule mwenzie haguswi.


Ni upuuzi kutaka kila mtu awe na mtazamo kama wako.
Achaguliwe tuzo yeyote utaona Moto wake .

Sadala tunamsagia kunguni mwanzo mwenga
 
Wale wanafanya vile kwakuwa wanakuwa na kundi kubwa la wananchi nyuma yao, hapa Tz wananchi ni wapumbavu tu, atajitokeza kisha akishikwa ntaanza kumcheka tena.
Mbona kipindi Roma ametekwa hakuchekwa
Watu waliungana wakapiga kelele na Roma akapatikana
 
Back
Top Bottom