Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Vita vya Kagera viliongozwa na Tanzania ndio wakafanikiwa kumg'oa nduli. Saa unaposema Museveni alimng'oa Amin sijui nikuelewe vipi. Hiyo 86 wakati anaingia madarakani, alitokea msituni dhidi ya general Tito Okelo. Sasa huko msituni ndio kuungwa mkono na wananchi?
 
Haahaaa ssa hapo nguvu ya wananchi ilikua wapi? Mbona ni wavamizi ndio walimtoa Amin na sio wananchi wa kawaida kuandamana au kubeba mtutu?
 
Haaahaaaa mkuu naona umembana vilivyo huyo UVCCM.
 
Misri ni mfano hai kuwa wananchi wakitaka haki yao hakuna wa kuwazuia,wataingia barabarani hata kama mna mizinga. Na hii hutokea pale mwananchi amedhulumiwa haki yake kweli.

Hapa Tanzania wananchi wanafahamu ukweli lakini nyie mnataka waandame ndio maana waliwatosa.

Ndege ilipokamatwa ni wapuuzi wachache waliofurahia lakini majority walikuwa na taifa lao.
 
Huko Misri unapojifichia waliumizwa muda gani na dictator Mubarak kabla ya kuamua kuingia mitaani? Kumbuka chaguzi zote Mubarak alikuwa anashinda zaidi ya 80%+ kama ccm walivyoanza sasa. Na chaguzi za enzi ya dictator Mubarak zilikuwa kama hizi zote za awamu hii ya 5.
 
There is no crack down of oppositions in Tanzania. Hawa mabeberu wajinga sana, yaani wanawafundisha mbinu ili ionekane kuna machafuko, idiot hawa wapinzani, ila uzuri watanzania wanatambua unafiki wao and they will go to hell as traitors.
 
Kwa hiyo unatumia kigezo gani kulinganisha hizi nchi juu ya utawala na chaguzi zake? Usikurupuke!
 
Kwa hiyo unatumia kigezo gani kulinganisha hizi nchi juu ya utawala na chaguzi zake? Usikurupuke!

Natumia kigezo usichokipenda. Nchi zote za madictator, huwa wanachezea box la kura, wananchi huwa ni ngumu kuandamana sio kwakuwa wanaridhika,bali hofu pekee ndio huwa kikwazo. 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kupiga kura, na wengi wamesusia kwakuwa hawana imani na box la kura, na uchaguzi huu wa juzi hilo limekaa wazi peupe. Sasa hivi tunangoja tu katiba kubadilishwa na wabunge waliongia kwa kubaka box la kura kumuongezea Magufuli muda wa kukaa madarakani, ili udictator usimikwe rasmi.
 
Tumia akili we dogo, rais wa sasa wa misri aliingia madarakani kwa kura?

Hayo unayotuhumu kuhusu udikteta hapa Tanzania? Nani anatatawala bila kufuata misingi ya katiba hapa Tanzania? Nani atabadili katiba ili JPM aongeze muda?
 
Ahaaa huyu dogo hajui kitu,Jwtz ilipigana bega kwa bega na waganda na mmoja wa makamanda alikuwa ni Museveni.

Kwanini Museveni alingoja nguvu ya nje ya Uganda, na sio kutumia wananchi wa nchini mwao kuandamana ili kumtoa Idd Amini, ili tuamini tu kuwa nguvu ya ndani na maandamano ndio njia pekee ya kuonyesha unaungwa mkono ili kumtoa dictator?
 
Mh...! Kwa hiyo kupata msaada wa Jwtz ndio kusema wananchi wa Uganda hawamuungi mkono?

Kumtoa dictator mpakani nguvu ya ndani tu?
 
Tumia akili we dogo, rais wa sasa wa misri aliingia madarakani kwa kura?

Hayo unayotuhumu kuhusu udikteta hapa Tanzania? Nani anatatawala bila kufuata misingi ya katiba hapa Tanzania? Nani atabadili katiba ili JPM aongeze muda?

Rais wa sasa wa Egypt baada ya maandamano ya kumng'oa Mubarak hakuingia kwa kura, maana box la kura huko lilishapoteza maana kama ilivyo hapa Tanzania sasa. Misingi ya katiba ya chama kimoja imepitwa na wakati na ndio maana tumefikia hali hii. Tuna katiba iliyokataliwa na mtawala ili aburuze watu. Subiri uone kitakachofanywa na bunge hili ili ujue dhamira ya kunajisi uchaguzi huu, lengo lake lilikuwa ni nini.
 
Mh...! Kwa hiyo kupata msaada wa Jwtz ndio kusema wananchi wa Uganda hawamuungi mkono?

Kumtoa dictator mpakani nguvu ya ndani tu?

Wananchi wakikuunga mkono unahitaji jeshi la nini?
Hiyo paragraph yako ya mwisho unapinga na kukataa nini? Au mada imekuwia nzito?
 
Nyie ndio mnaofanya polisi waonekane
kuwa jumuia ya CCM kwahiyo dereva wa Lissu amekuwa polisi? kwa watu wenye akili upelelezi si ni taaluma watu wanakalia desk na kugraduate? ila daah! Nchi hii ujinga ni tatizo sugu kwakweli
Yaani watu wapoteze rasilimali wakatiuwezekana wa kuepusha gharama hizo upo!? Hesabu yako ya wapi hii!?
 
Wananchi wakikuunga mkono unahitaji jeshi la nini?
Hiyo paragraph yako ya mwisho unapinga na kukataa nini? Au mada imekuwia nzito?
Ahaaa mada ina uzito gani? Nauliza hivi wananchi kumg'oa dictator anayetawala mpaka iwe nguvu ya ndani tu?
 
Yaani watu wapoteze rasilimali wakatiuwezekana wa kuepusha gharama hizo upo!? Hesabu yako ya wapi hii!?

Wangekuwa wanaogopa gharama tusingewaona wakitumia ma VX kwa mizunguko isiyo na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…