Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Nawaza tu wakuu...."siku hizi kuna mbinu mpya yaani unaitwa faragha na kisha unawekewa sauti au video yako iliyorekodiwa bila wewe kujua ukiwa kwenye mkakati na mbinu za kuihujumu nchi yako au makosa mengine yanyofanana na hayo na kisha unapewa kuchagua kuungama na kukili adharani juu ya matendo yako maovu au upelekwe mahakamani kujibu kesi...."
Hapo ndio unaona wengi wanatimkia balozini, UNHCR, au kupotea kabisa wakipata upenyo! Na bado wapo wengi nyuma ya Lissu na Lema....Watu waliseama hapa kuwa hapa nchini hatuna upinzani, lipo kundi la wana mazingaombwe na wahuni ambao wapo tayari hata kuua wenzao ili ionekane wanatendewa uovu na serikali!