Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Hawajitambui hawana tofauti na Lema. Magufuli yuko buzzy anaunda cabinet yenye kasi na viwango.Amepewa ilani ya kurasa 303 na yuko awamu ya mwisho ya utawala wake, amepania kuacha nchi kwenye kiwango cha juu cha uchumi wa kati. Soon Tanzania itaipumulia South Africa kiuchumi, tumedhamilia na tutawezaBro mmeanza ramli 2017,miaka 5 imeisha tunaanza awami nyingine.
Hamchoki kutabiri tu. Huyo Kagame juzi hakuja kwenye uapisho,n a mkatia maneno mkayamaliza[emoji2][emoji2]saa hizi tena mmesahau muda mfupi tu kama kuku, mnaanza mengine.