Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Bro mmeanza ramli 2017,miaka 5 imeisha tunaanza awami nyingine.

Hamchoki kutabiri tu. Huyo Kagame juzi hakuja kwenye uapisho,n a mkatia maneno mkayamaliza[emoji2][emoji2]saa hizi tena mmesahau muda mfupi tu kama kuku, mnaanza mengine.
Hawajitambui hawana tofauti na Lema. Magufuli yuko buzzy anaunda cabinet yenye kasi na viwango.Amepewa ilani ya kurasa 303 na yuko awamu ya mwisho ya utawala wake, amepania kuacha nchi kwenye kiwango cha juu cha uchumi wa kati. Soon Tanzania itaipumulia South Africa kiuchumi, tumedhamilia na tutaweza
 
Kama mlikiona kwa macho kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huu, kwann hamkuitana kufanya maandamano wakati uchaguzi unaendelea?? Mkaendelea kulinda kura zenu kwenye vituo vya kupigia kura na kuleta filigisu baada ya matokeo yalipotangazwa??

Ulitaka watu wapoteze maisha kisha mseme wanatumiwa na watu wasiolitakia mema taifa?
 
Unachukua panga, mundu, rungu, mshale unaenda kushambuliana na vyombo vya ulinzi kisha utegemee kutoka salama?

Sikiliza. Acha kuongea story ya upande mmoja. Ongelea na mikakati ya hao wanasiasa wahalifu wanavyopanga kutaka kulipua public places kama vituo vya mafuta na kadhalika.

Lema et all wamesema kuwa hawaogopi kufa and so forth... sasa hili la kupanga mikakati ya kigaidi kama polisi wanavyodai ni hakika linawakimbiza nchi wakidai wanatishiwa..

Hizo propaganda za kitoto za kulipua maeneo ya umma ndio unatumia kujenga hoja za kujibizana na mimi?
 
Pamoja na kuipenda CCM yake, Mwalimu angekuwa hai asingeruhusu ujinga wa namna hii...watu kuanza kuikimbia Tanzania yao kwa hofu ya kuuawa kweli? Hapa ndipo CCM mmetufikisha!!
 
Hizo propaganda za kitoto za kulipua maeneo ya umma ndio unatumia kujenga hoja za kujibizana na mimi?

wampige propaganda lema huyu ambaye sio mbunge tena!!!ana threat gani kwa sasa!!

hivi mnawazaga nini wenzetu???
 
wampige propaganda lema huyu ambaye sio mbunge tena!!!ana threat gani kwa sasa!!

hivi mnawazaga nini wenzetu???

Bensaa8 alipopotezwa au mwandishi Azory walikuwa na kitisho gani?
 
Wachumia tumbo! Yaani ufanye kampeni miezi miwili uwe mpinzani miaka 5 usiuwawe ila mara baada tu ya kupoteza ubunge eti uhai wako uko mashakani hawa wanatufanya wote wajinga.!
The same kwa Lissu umekaa hapa 2month ukifanya Campain, ukizunguka Nchi nzima uchaguzi umeshindwa eti ooh natishiwa maisha stupid.!
Hacha habari zako,kwenda zako bwana, siasa zipo na Mambo yake ila ukisikia mtu mzima analalamika jua yapo yaliomkuta
Mpakaa mda huu Kama taifa hayuko sawa ,unaongea kisa upo katika mtandao flani, ambapo wapata mkate lakini elewa life span yetu ni ndogo Sana, ila Koo zetu zitaendelea,
Nchi ipo wakati mgum,japo wajitoa ufaham,kauli yako moja yaweza iponya nchi,kuliko kushabikia Mambo yasio na maana kisa mwanachama wa chama flani ,mnaangamiza taifa kwa mikono yenu wenyewe ,tafakari na chukua hatua
 
I hope this is fake news.

Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?


It’s not fake hata kwenye gazeti la Mwana nchi imeandikwa
 
Unajua hata libya kuna amani maana sio nchi nzima au kila mahali kuna mapigano.
Baada ya dili la kuoana waume kwa waume kushindikana watu wameamua kuwafata wanaume huko Ulaya na USA.
Lema hana cha kujivunia na anajua maisha yatakavyokua magumu kwake na kurudia wizi wa magari, sasa ameamua kutafuta ukimbizi ili akaoshe hata choo ugaibuni.
Walimcheka Dr slaa wakati anafanya supermarket kwa kuwa wao walikuwa na ubunge sasa wamekosa wanaona aibu kuishi tanzania.
Lema alipe madeni aliyo kopa bungeni aache kukimbimbia
 
Nimeona kwenye magazeti leo mfuko wa simenti umefika elfu 35,basi punguzeni bei tujenge nyumba jamaniiii tupate maendeleo maaana yake wapinga maendeleo hawapo tena
Ulipo kuwa 12000 ulijenga mpaka wapi???
 
Sio jambo jema kuifananisha nchi ya Kidemokrasia inayofuata misingi ya haki za binadamu na Zaire ya Mobutu au Uganda ya Amin

Msitake kusema kuwa watanzania walitiwa hofu,watanzania wanajua hakuna dhuluma,kama kuna dhuluma wao wenyewe wataandamana na kutaka haki.

Pia usifananishe Rwanda na Tanzania, genocide ya Rwanda ilipofanyika kila mtu aliona kilichotokea, acha kupotosha umma kwa mifano ya hovyo.
Ameuliza kama kuna uonevu mbona waTZ hawakuandamana ndio nimetoa mifano ya Rwanda na Zaire ya Mobutu kwamba licha ya unyama uliofanyika ila sikuwahi ona maandamano.

Swali linakuja, Je kuna raia waliandamana?

NB: Napoongelea kagame kuchinja wahutu hatuongelei genocide tunaongelea Rwanda ya 1998-2003. Usikurupuke kuchangia vitu usivyokua na uelewa navyo.
 
Raia wa kawaida utamfananisha na kiongozi wa chama?.
Huko serious kweli?
ndio mjue kwamba viongozi wa chadema ni wasanii tu,wanawatumieni
Kiongozi kataka kuharibu nchi,kachukua familia yake kasepa,alikua anataka kwenda Marekani,huku anawaacha na shida zenu,kwa nini kama ana uchungu asingebaki na watoto wake
 
Back
Top Bottom