Hivi una amini kweli anataka kuuwawa? Kwa threat ipi aliyonayo kwenye taifa hili. Drama tu hizo...Lema ana madhara gani wajameni.?
~hana bunduki
~hana jeshi
~hata jiwe hana
au mdomo wake umekuwa kifaru?
You're rightKwani si ilitolewa amri ya kuandamana mbona hukutoka kwenda kuandamana, huoni hapo kuwa wewe ndio mnafiki namba moja kwa hao viongozi?
Siku zote mjinga ndio hujiona ana akili nyingi kuliko wengine. Hongera kamanda.
Waulize kina ngoooosha wenzakoI hope this is fake news....
Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?
Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...www.jamiiforums.com
Nyie ndio mashetani duniani
Lissu aliposema anafautwa na watu wasio na nia nzuri mkasema anaigiza
Mpaka akapigwa risasi mchana kweupe, amepata ulemavu wa kudumu na akanyimwa haki zake zote kama mbunge kwa makusudi na hadi leo hakuna mrejesho wa hao watu waliotaka kumuua.
Ukiandika fikiri, sio unaruhusu bakuli lako kubwabwaja kama choo.
Ujinga mtupu mkuu, huyu Lema si ndio yule aliye ota Kisha akaita waandishi wa habari kuwa ameota Rais atakufa kabla ya 2020.Vile vivuli walivyohangaika usiku na mchana ili kuvichonga kwa midomo ya siasa ya ujeuri, unafiki, kiburi na kupinga kila kitu majukwaani na mbele ya vyombo vya habari sasa ndivyo vinawaandama, havitaki kuwaacha kabisa.
Huo mti mrefu kuliko yote Tanzania ni Dkt. Magufuli. Njoo chini ya mti huo tulijenge taifa letu.Naanza kuamini,afrika organ muhim za nchi ,ndo zinaharibu taswila za nchi zao,
Hii ni shida juu ya shida, nimefunga siku kumi nne, lakini sielewi mbona mungu Kama kweli u mkweli uniambii lazida japo ulisema nitafute mti mrefu kuliko yote tz nami sio mtafasili Sana wa maandiko nimejitahidi nimeuliza sipati jibu mpaka mda huu, mti mrefu ni upi? Wana wa mungu,
Ok mungu pitia kwa viumbe vyako ulivyovileta Tanzania naomba nijulishwe mti mrefu kuliko yote Tanzania nini maana yake
Ina maana anapaswa kukubaliana na mawazo yao? Wasipingwe kwa chochote?Huyo Mama D yupo humu kutukana na kuwang'ong'a anaowaona wapinzani wa CCM bila kufikiria wanachokiongea. Inasikitisha sana. Watu wanaumia jamani.
Huwa nakuona kama mtu flani hivi muelewa sana kumbe ndo hiviHakuna ajuae sababu hata dereva aliyekua nae ambaye alikua shahidi mzuri amefichwa ubelgiji
Inafikirisha sana hii
Nakuona kibaka wa kura mzoefukamanda uchwara unakimbia nchi?
Lugha chafu sana hii.I don’t like your ass, either.
Kick rocks and die.
Come fight me.
Kumbe upo mkuu? Naona uliingia msituni kutuliza stress! Pole kwa kushindwa uchaguzi.Nakuona kibaka wa kura mzoefu
Unauliza Lema Godless ni threat kwa nani? Kama upo kwa shemeji yako au una maslahi na watawala hawa wa mabavu hutoshangaa kuhusu hilo. . ila amini kwamba dikteta anawaogopa watu aina ya Lema kuliko huyo mumeo anavyoogopa kufukuzwa kazi kwa kumteta vibaya Nduli.Stunt
Lema hakuuawa alipokuwa mbunge leo sio mbunge kabakiwa na suruali nani anataka kumuua?
Lema ni threat kwa nani??
Kama personal issue alikabili tu
Mkuu stroke, kitu gani ambacho unaamini ni kizuri kutoka kwa wapinzani wa nchi hii hasa CHADEMA? Hata kitu kimoja, au hoja moja waliyowahi kuileta au kuianzisha au kuiongelea katika nchi hii.Nadhani wamekaa na kukubaliana kuwa hii iwe strategy mpya ya kuharibu image ya nchi baada ya kuukosa ubunge.
Wanajua wakiwa wabunge wanakuwa na Parliamentary Immunity, so wanaweza ongea lolote wakiwa ndani ya bunge.
Kwakua sasa hawana hiyo the ONLY cover ni kuwa wakimbizi wa kisiasa huko watazungumza lolote wakiwa uhamishoni.
Wapinzani ni watu hatari Sana kwa Ustawi wa Taifa letu, ni wabinafsi kupindukia,
Tutaendelea kusikia Taarifa kama hizi toka kwa wengine.
Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi akiwa na hiyo parliamentary immunity. Kuna uchunguzi wowote ulifanyika?Nadhani wamekaa na kukubaliana kuwa hii iwe strategy mpya ya kuharibu image ya nchi baada ya kuukosa ubunge.
Wanajua wakiwa wabunge wanakuwa na Parliamentary Immunity, so wanaweza ongea lolote wakiwa ndani ya bunge.
Kwakua sasa hawana hiyo the ONLY cover ni kuwa wakimbizi wa kisiasa huko watazungumza lolote wakiwa uhamishoni.
Wapinzani ni watu hatari Sana kwa Ustawi wa Taifa letu, ni wabinafsi kupindukia,
Tutaendelea kusikia Taarifa kama hizi toka kwa wengine.