Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hivi una amini kweli anataka kuuwawa? Kwa threat ipi aliyonayo kwenye taifa hili. Drama tu hizo...Lema ana madhara gani wajameni.?
~hana bunduki
~hana jeshi
~hata jiwe hana
au mdomo wake umekuwa kifaru?