Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Hii ni fake news. Lema yupo Arusha na watoto wake wanaenda shule kama kawaida. Na leo nimeonana nae town. Hii ni purely fake news.
 
I don’t like your ass, either.

Kick rocks and die.

Come fight me.
Democracy is about to die in this country,
and almost all at once, Tanzanian argued about it, and then they tried to fix it.
“The future of democracy is topic number one in the animated discussion going on all over in this country,you sound like you dont live around,please dont try to undermine us,remember the battle we facing is tough one
 
Waliotaka kumuua 2017 alikuwa tishio kivipi hadi wakataka kumuua?
Nimeuliza maswali mengi sana hapo juu cha ajabu badala ya kujibu nawe unakuja na swali lako.Jibu ulichoulizwa ndio uje na swali lako.kama hayajibiki basi nikutakie usiku mwema.
 
Wakiondoka wote shamba litaliwa na ngedere, walitakiwa kupambana mbona BobWine wa uganda hajakimbia nchi anapambana? Julius Malema wa Africa kusini, Maalim seif hajakimbia? Kama viongozi wa chadema ni waoga kiasi hiki ni wazi wabongo wote ni majejeta.

Zanzibar kule wamepambana kiasi chao na bado mapambano yanaendelea kwann wabongo ni waoga kiasi hiki?

Lissu hapaswi kukimbia pia yeye ni mgombea urais dunia inamfahamu sasa sana madam alisema wanataka kumuua alitakiwa atulie nchini, kumuua kiongozi wa upinzani ulimwengu unakuwa macho sana. Aende kwa matibabu halaf arudi.
Wale waliouwawa Zanzibar wanatosha kutujulisha usalama wa wapinzani Tanzania
 
I hope this is fake news....

Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?

We tunakuambia tunaishi kwa mkono wa chuma hauamini Aya sasa
 
Wakati bunge linaendelea Burembo alisema hadharani kwamba alikuwa anataka Zito apigwe risasi, Mama Rwakatare alionekana akipiga meza kwa nguvu zake zote. CCM hawatanii. Bora Lema na wengine wajihami. Kama yalisemwa hadharani na hakuna hatua ilichukuliwa Je sasa
 
Wanajitisha wenyewe na kuogopa kweli
Vile vivuli walivyohangaika usiku na mchana ili kuvichonga kwa midomo ya siasa ya ujeuri, unafiki, kiburi na kupinga kila kitu majukwaani na mbele ya vyombo vya habari sasa ndivyo vinawaandama, havitaki kuwaacha kabisa.
 
Viongozi wa upinzani wanakuwa persecuted hivi halafu watu kimyaa.

Nchi hii wacha tuendelee kupata kibano hadi akili zetu zikae sawa!
 
Kwa mambo yanayofanywa na awamu hii sishangai chochote, wewe unaruhusiwa kuropoka tu kwasababu bado hayajakufika.

Lissu mpaka leo mmegoma kumpa ulinzi anaishi ubalozini kwa wazungu ndani ya nchi yake kwasababu gani?

Haya yanawezekana ndio maandalizi ya jamaa kujiongezea muda wa kubaki madarakani, anaona huu ndio wakati wake wa kuwaondoa wapinzani wa kweli wote. Ndani ya hii miaka mitano ijayo, watanzania tujiandae kuona mengi sana ya kushangaza.
Huo ulinzi Lissu apewe na nani? Kwenye kampeni alisema wazi kuwa walio mshambulia ni Askari kwa amri ya Rais sasa ulinzi apewe na nani wakati hao askiri ndio anao dai wauaji?
 
Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?

Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo....

Leo natamani niyameze maneno yangu!
Kumbuka pia mtu anaweza kutumia mwanya huo kufanya kweli. Matukio ya kutengeneza yanawawekeni kwenye tashwishwi ya kutoaminika japo kwa sentimita moja.
 
Viongozi wa upinzani wanakuwa persecuted hivi halafu watu kimyaa.

Nchi hii wacha tuendelee kupata kibano hadi akili zetu zikae sawa!
Kwani si ilitolewa amri ya kuandamana mbona hukutoka kwenda kuandamana, huoni hapo kuwa wewe ndio mnafiki namba moja kwa hao viongozi?
 
Back
Top Bottom