Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake:
Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao."
Izingatiwe kuwa utabiri wa Lema unafungamanishwa moja kwa moja na umuhimu wa matendo ya haki kwa wengine, kuweza kuivuna mibaraka ya maisha marefu.
Kupata kuishi maisha marefu ni mbaraka kutokea kwa Mola mwenyewe (Kut 20:12, Efeso 6:2-3).
Tutende haki vinginevyo, asilaumiwe dobi kaniki ni rangi yake.