Godbless Lema alipotoa Utabiri Mahsusi kwa Awamu #6

Godbless Lema alipotoa Utabiri Mahsusi kwa Awamu #6

Duh..

Huyu lema asichukuliwe poa,asije kuwa anatumika na wapanga mipango.

Kuna uzi wa somebody Tumaini sijui..nikiunganisha na hii dot pia.

Tuzidishe maombi hizo nguvu za giza zisiweze kutimia.
 
Duh..

Huyu lema asichukuliwe poa,asije kuwa anatumika na wapanga mipango.

Kuna uzi wa somebody Tumaini sijui..nikiunganisha na hii dot pia.

Tuzidishe maombi hizo nguvu za giza zisiweze kutimia.

Nguvu za giza haziendi na mahitaji ya kutenda haki.

".. mtawajua kwa matunda yao .."
 
Kwamba? Kila raia?

Hawa kwa kuteka, kutesa, kuuwa, kubambikiziana kesi nk wamechukiza wengi.

Tafakari CDM peke yake ina wafuasi wasiopungua 8m+.

Hujui wangapi wanaonung'unika na mafuta, tozo, na mzigo wa kodi usiowahusu huko juu?

Hujui wangapi wanaonung'unika na dhuluma za serikali hii na iliyopita?
Ni wakati wa kuwaambia ukweli hawa wanajivunia udhalimu na ukatili ETI kama 'mbinu' ya kutawala.
Wakati umefika wajijue kuwa wamejawa na unafiki na ni aibu na hasara kubwa kwa taifa iliyorithiwa kutoka awamu ya tano kipindi cha giza,
 
Back
Top Bottom