Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 405
Hii nchi mnayoiota kutwa ni ya kusadikika.Kwenu urais ni kutotenda haki kwa wengine? Kwani mna mwakilisha nani vile?
Hakuna Rais atakayemfurahisha Kila raia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi mnayoiota kutwa ni ya kusadikika.Kwenu urais ni kutotenda haki kwa wengine? Kwani mna mwakilisha nani vile?
Kutabiri kifo ni jambo baya? Kifo ni Jambo baya?Lema anapenda kutabiria wengine mabaya tu, ashindwe na alegee
Waambie waache na kufanya mabaya.Lema anapenda kutabiria wengine mabaya tu, ashindwe na alegee
Hii nchi mnayoiota kutwa ni ya kusadikika.
Hakuna Rais atakayemfurahisha Kila raia.
Nina shaka na hiyo orodha ya wafuasi was CDM. Chama kisicho na taaratibu kitajuaje takwimu zake.Kwamba? Kila raia?
Hawa kwa kuteka, kutesa, kuuwa, kubambikiziana kesi nk wamechukiza wengi.
Tafakari CDM peke yake ina wafuasi wasiopungua 8m+.
Hujui wangapi wanaonung'unika na mafuta, tozo, na mzigo wa kodi usiowahusu huko juu?
Hujui wangapi wanaonung'unika na dhuluma za serikali hii na iliyopita?
Ndugu hebu nitajie serikali mojawapo hapa duniani ambayo hainung'unikiwi na wananchi wakeKwamba? Kila raia?
Hawa kwa kuteka, kutesa, kuuwa, kubambikiziana kesi nk wamechukiza wengi.
Tafakari CDM peke yake ina wafuasi wasiopungua 8m+.
Hujui wangapi wanaonung'unika na mafuta, tozo, na mzigo wa kodi usiowahusu huko juu?
Hujui wangapi wanaonung'unika na dhuluma za serikali hii na iliyopita?
Kutabiri kifo ni jambo baya? Kifo ni Jambo baya?
Kifo sio adhabu, kifo ni haki na ndio maana mwema na mbaya wote hufa.
Hata lema asipotabiri kufa kupo tu
Nina shaka na hiyo orodha ya wafuasi was CDM. Chama kisicho na taaratibu kitajuaje takwimu zake.
Kila mtu beberu unadhani kuna system. Hata hayo unayoyataja viongozi was CDM hurukia rukia tu baada ya kuskia taarifa Kama Jana walivyofanya kwa Zito.
Sina upande... Kwani kutoa data za uongo nani anashindwa hata kicha.Hata usajili wa wanachama kidijitali hujasikia?
Idadi ya kura alizopata mgombea wa CDM 2015 nazo hukusikia?
Toa pamba masikioni.
Wanaowachukia (yawezekana) ni wengi kuliko walio upande wenu.
Ndugu hebu nitajie serikali mojawapo hapa duniani ambayo hainung'unikiwi na wananchi wake
Sina upande... Kwani kutoa data za uongo nani anashindwa hata kicha.
Nakuambia kwa jinsi CDM walivyodisorganised nina mashaka Kama wanakumbukumbu za wanachama.
Hakuna heshima na maadili.... Sasa system itatoka wapi. Behaviour ya taasisi kwa nje itakupa picha ya kilichopo ndani.
Haki haigaiwi inatendeka... Na kwanini isitendeke?!Hivi Lema akiwa Rais kesho anaweza kugawa haki kwa Kila mtu?
Unajua maana ya kutabiri?Lema anapenda kutabiria wengine mabaya tu, ashindwe na alegee
Hata Paulo alikua muuaji Kabla ya kuwa mtume.Mwizi wa magari amekuwa nabii toka lini,[emoji23][emoji1787]
.lm DD elNabii Paulo awali akiitwa Sauli alikuwa baradhuli, jambazi na mwuuaji.
Tenda wema utapata maisha marefu. Hamtaki kuna jambo litawafika!
Taabu iko wapi hapo?
Hivi Lema akiwa Rais kesho anaweza kugawa haki kwa Kila mt
Kwa hiyo asidai haki kwa sasa?Hivi Lema akiwa Rais kesho anaweza kugawa haki kwa Kila mtu?
Aisee!Sina upande... Kwani kutoa data za uongo nani anashindwa hata kicha.