Lema anapenda kutabiria wengine mabaya tu, ashindwe na alegee
Lema ni mzushi fulani hivi wa kimachame!
Mwizi wa magari amekuwa nabii toka lini,[emoji23][emoji1787]
..sijawahi kupuuzia unabii. ...,
Taja utabiri wake ambao haukutimiaLema anapenda kutabiria wengine mabaya tu, ashindwe na alegee
Taja utabiri wake ambao haukutimia
Lema ni mzushi fulani hivi wa kimachame!
Muulize yule kubwa la maadui sasa hv anafanya maombi ya kuongoza malaika nw
Hivi Lema akiwa Rais kesho anaweza kugawa haki kwa Kila mtu?Lema anasisitiza haki. Jikiteni kwenye haki kuna tuzo ya maisha marefu. Hamtaki, yatawakuta asema mtumishi.
Hakuna mzushi katika ukweli huo!
Yaonekana tumbo lako lishaanza kunyemvua nyemvua.Lema anapenda kutabiria wengine mabaya tu, ashindwe na alegee
Lema ni mzushi fulani hivi wa kimachame!
Hivi Lema akiwa Rais kesho anaweza kugawa haki kwa Kila mtu?
AMENNabii Paulo awali akiitwa Sauli alikuwa baradhuli, jambazi na mwuuaji.
Tenda wema utapata maisha marefu. Hamtaki kuna jambo litawafika!
Taabu iko wapi hapo?