Godbless Lema ameweka video ya Kamanda Mawazo X. Watu waitafsiri kama kijembe kwa timu ya Mbowe

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote.

Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.

Niwa taarifu tu Lema hawezi kumdhrau au kumkashifu Mbowe !

Ikitokea basi ndio mwisho wa dunia umefika
 
View attachment 3183810
Hahaha wanaanza kuwindana kuuana wao kwa wao hahaha. Laana ya kumdhihaki Dkt Magufuli itawamaliza. Yaani mpaka sasa Tanzania hatuna wapinzani tuna vikundi vya magaidi
 
Niwa taarifu tu Lema hawezi kumdhrau au kumkashifu Mbowe !

Ikitokea basi ndio mwisho wa dunia umefika
Alimuonya juu ya maridhiano, alimwambia chukua tahadhari unadanganywa mwenyekiti.

Baada ya hapo umeziona figisu alizofanyiwa Lema hadia akaacha kugombea uenyekiti wa kanda?
 
Huyu ndio hovyo klabisa kwenye tuhuma za mauji. Watu waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba ilikuwa ni kazi ya nani?
Lakini hata lisu kawatuhuma baadhi ya vigogo kupanga njama za mauji dhidi yake na wale waliokuwa na ushahidi ya makada wa chadema kuchukua rushwa Kwa Abdul kwaiyo yawezekana wahusika wa mauji ni vigogo wa chadema ushawahi jiuliza kwanini mbowe hauawi wanauwa wengine?
 
Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote.

Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.

View attachment 3183810
Mbona yeye anataka watu wawaamini?

Ni wapumbavu tuu ndio wanawaamini Wanasiasa ambao wako hapo kupigania matumbo Yao na familia zao.

Kwa muktadha huo ni kwamba pambana ukijua utanufaika sio kutumika na wengine
 
Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote.

Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.

View attachment 3183810
R.i.p mawazo alphonce..kifo chako kiwe chachu ya harakati za ukombozi wa pili..

Mawazo alikua rafiki mkubwa wa JOHN PAMBALU mwenyekiti wa bavicha taifaa
 
Back
Top Bottom