Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.

Capture 1.PNG
 
Rais asipokua makini anaweza kumaliza muda wake akifanyia kazi issues za wapinzani TU

Ndio maana huwa wanasema "if you give them an inch they will ask for a mile".

Wakimaliza hili, watadai jingine na wakiona wametimiza malengo yao wataanza kumpinga.
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu lisu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha jpm tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake
Rais ni mzima anachapa kazi - Majaliwa

Huyu naye ahojiwe ?
 
Nilitegemea Lema amweleze afande Sirro!
Issue hii iko beyond afande Sirro, kama afande angekuwa na uwezo wa kulishughulikia angekuwa kashalifanyia kazi kitambo sana na file lingekuwa lishafungwa. Review hii ipo mikononi kwa Rais Samia, kama akiamua kweli kutafuta chanzo hadi mwisho wa matukio haya basi wengi wataumbuka ambao hatukuwategemea.

Ni hekima tu na Mh. Rais yaweza kuwaokoa hao watu!! Hongera Lema Hoja / Ombi zuri kwa Mh. Rais Samia.
 
Rais asipokua makini anaweza kumaliza muda wake akifanyia kazi issues za wapinzani TU,

Ndio maana huwa wanasema "if you give them an inch they will ask for a mile".

Wakimaliza hili, watadai jingine na wakiona wametimiza malengo yao wataanza kumpinga.
Ikulu ni mzigo - Nyerere
 
Back
Top Bottom