pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Angekuwa Ben ni mwanao au ndugu yako msingekuwa mnaandika utumbo hivi.Tunataka kujua viongozi wa ccm kibiti walikuwa wanauliwa na nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa Ben ni mwanao au ndugu yako msingekuwa mnaandika utumbo hivi.Tunataka kujua viongozi wa ccm kibiti walikuwa wanauliwa na nani
Unaitaje kick wakati kweli Ben saanane hajulikani alipo mpaka saa hizi, unasemaje kick wakati walio mpiga Risasi Tundu hawajulikani mpaka saa hizi. unaonekana unajua kuandika na kusoma lkn huelewi kitu chochote kichwani mwako.Naona kiki ya Sabaya imekosa mvuto sasa wanaanzisha mpya!
Asante sana my dear cocastic kwa kuwakumbusha hawa watu. Sijui huwa wanajiondoa ufahamu au hawana kumbukumbu sahihi?Si huyu SSH alitema cheche kule Morogoro wakati wa campaign, kuwa Lissu hakupigwa risasi na watu wa CCM au jeshi letu, maan wao wako makini na sharp, haiwezkan risasi zaidi ya 3 zisitoe uhai wake, na akamalizia kuwaambia wananchi kuwa wapige kura au wasipige lazima CCM ishinde uchaguzi,
Sijui wamesahau tena lol.
Shida yako ni moja tu!..Hivi ktk ukoo wenu kuna mtu mwenye akili timamu kweli?
Huwa mkiandika huku wote ni ujinga tu, naona ni ule ulevi wenu uliopindukia au laana flani hivi ktk ukoo.
Ooooh basi sawa, na iwe hivyo kwa kweli.Kuna jambo kubwa linakuja , sasa hizi anazofanya Lema ni Protocol
Kwani wewe inakuuma nn mama akichunguza hayo mauaji ya kinyama na kupigwa risasi kwa mh.lisu au wewe unahusika?Rais asipokua makini anaweza kumaliza muda wake akifanyia kazi issues za wapinzani TU,
Ndio maana huwa wanasema "if you give them an inch they will ask for a mile".
Wakimaliza hili, watadai jingine na wakiona wametimiza malengo yao wataanza kumpinga.
Siro wkt anahojiwa na middle kipindi cha dk 45 alichomekewa swali la kupotea kwa saa8 na risasi za lisu akabaki anachekacheka tu.issue hii iko beyond afande Sirro, kama afande angekuwa na uwezo wa kulishughulikia angekuwa kashalifanyia kazi kitambo sana na file lingekuwa lishafungwa. Review hii ipo mikononi kwa Rais Samia, kama akiamua kweli kutafuta chanzo hadi mwisho wa matukio haya basi wengi wataumbuka ambao hatukuwategemea.
Ni hekima tu na Mh. Rais yaweza kuwaokoa hao watu!! Hongera Lema Hoja / Ombi zuri kwa Mh. Rais Samia
Yaan hata mwenyewe nashangaa wamesahau mara hii, wakati miezi michache iliyopita SSH alitema cheche kuhus jambo hilo tena wazi kabisa, sasa sijui SSH yule na wa sasa ni tofauti, hata sielew mweeeeh.Asante sana my dear cocastic kwa kuwakumbusha hawa watu. Sijui huwa wanajiondoa ufahamu au hawana kumbukumbu sahihi?
Madam SSH alikuwa sehemu ya Serikali wakati hayo yote yakitokea, hivi kweli Lema anafikiri Madam SSH atajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe??
Gazeti la mwanahalisi lilisema Ben Saanane anaonekana vijiwe vya Kahawa na Mbowe.Ukivivaa viatu vya wazazi wa Ben Saanane pamoja na ndugu zake hii kitu inauma sana.
Pia tunataka kujua Chacha wangwe alikufaje?
Weka nyama Mkuu, Au nisubiri kwanza? Maana nishawah siti ya mbele na sandalusi ya popcorn na juice ya AZAM EMBEKuna jambo kubwa linakuja , sasa hizi anazofanya Lema ni Protocol
huyu mbona ameanza kujijambia huko aliko? si arudi atoe ushahidi sasa? mbona mbowe haulizwi kuhusu ben? aukwakuwa kawalogamnamtukuza kama ndiye aliye waumba? lema ukweli anaujuwa ila anapotosha uma kamata mbowe rudisha lissu watoe ushahidiPia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia , ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto , Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti , Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi
View attachment 1806775
Katika wote walamba viatu wa lumumba Eti wee pekee wanadai ndio una kaakili kidogo cha kuvukia barabara za porini....Gazeti la mwanahalisi lilisema Ben Saanane anaonekana vijiwe vya Kahawa na Mbowe.
ukweli mnaujuwa mleteni lisu na dreva wake muone mumlete na mbowe wawe wote halafu waulizwe vizuri wanaujua ukweli mbona wana jificha?Hutaki ukweli ufahamike ?
Maza alizinguaga sanaSi huyu SSH alitema cheche kule Morogoro wakati wa campaign, kuwa Lissu hakupigwa risasi na watu wa CCM au jeshi letu, maan wao wako makini na sharp, haiwezkan risasi zaidi ya 3 zisitoe uhai wake, na akamalizia kuwaambia wananchi kuwa wapige kura au wasipige lazima CCM ishinde uchaguzi,
Sijui wamesahau tena lol.
siyo kweli ni mbowe kisa uenyekiti wa chadema taifaHayo Maswala ya Lissu na Ben Muhusika Mkuu ni Daud Albert Bashite Fa Fa Fa Fa Fa Fa Fa.
Hiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyoUkivivaa viatu vya wazazi wa Ben Saanane pamoja na ndugu zake hii kitu inauma sana.
mbowe anaweza kujibu akiulizwa vizuri suala la uenyekiti chadema halijawahi kumuacha mtu salamaPia tunataka kujua Chacha wangwe alikufaje?
kwanini unabagua wengine hawakuuwawa?uenyekiti wa cdm ni mgumu sanaJikite kwenye mada