Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Rais asipokua makini anaweza kumaliza muda wake akifanyia kazi issues za wapinzani TU,

Ndio maana huwa wanasema "if you give them an inch they will ask for a mile".

Wakimaliza hili, watadai jingine na wakiona wametimiza malengo yao wataanza kumpinga.
Wapinzani ni Raia halali wa nchi hii na Rais Samia ni wa Watanzania wote bila kujali dini, itikadi, rangi etc, Kama anaona kuna umuhimu wa kufanya hivi hakuna wa kumzuia.
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu lisu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha jpm tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake
Bashiru ndiye alikuwa anawatonya
 
Wakati huyo Ben Saanane anapotezwa katika mazingira ya kutatanisha na huyo Tundu Lissu anapigwa marisasi, huyu Madam SSH yeye alikuwa nani??
Kesi ya Nyani mnataka Ngedere awe hakimu??
Si huyu SSH alitema cheche kule Morogoro wakati wa campaign, kuwa Lissu hakupigwa risasi na watu wa CCM au jeshi letu, maan wao wako makini na sharp, haiwezkan risasi zaidi ya 3 zisitoe uhai wake, na akamalizia kuwaambia wananchi kuwa wapige kura au wasipige lazima CCM ishinde uchaguzi,

Sijui wamesahau tena lol.
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu lisu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha jpm tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake
SukumaGang Wahedi!!!
 
Si huyu SSH alitema cheche kule Morogoro wakati wa campaign, kuwa Lissu hakupigwa risasi na watu wa CCM au jeshi letu, maan wao wako makini na sharp, haiwezkan risasi zaidi ya 3 zisitoe uhai wake, na akamalizia kuwaambia wananchi kuwa wapige kura au wasipige lazima CCM ishinde uchaguzi,

Sijui wamesahau tena lol.
Kuna jambo kubwa linakuja , sasa hizi anazofanya Lema ni Protocol
 
Back
Top Bottom