MAMA HAHANGAIKI NA VILIVYOPITA ANAANGALIA MBELE YAJAYO HASA YA MAENDELEO YA WATU SI KUSIKILIZA NGONJERA ZA CHADEMA KILA SIKUWakati wa matukio yote hayo yanafanyika Magufuli alikuwa ni Rais, Samia alikuwa Makamu wa Rais kwa hiyo kila kitu anakifahamu na kama ni kweli anafuata maadili ya dini yake anatakiwa aingie kazini moja kwa moja kwa kuwa pakuanzia anapafahamu,itakuwashida kufanya hivyo kama na yeye ni muhusika.
Nenda traffic makao makuu,au ukipenda kamuone mkuu wa usalama barabarani atakupa jibu zuri dadaPia tunataka kujua Chacha wangwe alikufaje?
Lini umeacha kuuza mzuuti,taarifa uliolewa mombasa n zenj bwana shakaMwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Mbona tumemuomba rais aingilie kati? Kukle kwingine pia wanasema Wangwe ni Mbowe! Tunamuomba rais tu!Ulimboka alitekwa na ACP Ahmed Msangi na Ramadhani Ighondu, Mbunge wa sasa wa moja ya majimbo ya Singida
Kwake yeye hayo ni mafanikio makubwa. Toka kuwa mwizi wa magari hadi kuishi Canada!Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Wapelelezi na vyombo vya dola wanasemaje? Ina maana serikali inawaacha wahalifu pasi kuchukua hatua?Mi nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Changanya na Wangwe aliuwawa na nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Kila la Heri kurlzawa , R.I.P Mohamed Mtoi.Siko upande wako
Hata wenyewe akina Ahmed Msangi na Ighondu hawajawahi kukanusha. Ruksa kuwauliza kama huaminiunaushahidi wa kutosha kuwa hao ndiyo wahusika?
Asipohangaika na vilivyopita kwa sasa ipo siku atavihangaikia,Sabaya hakujua na hakuwahi kuwaza kuwa vilivyopita atakuja kuvihangaikia sasa.MAMA HAHANGAIKI NA VILIVYOPITA ANAANGALIA MBELE YAJAYO HASA YA MAENDELEO YA WATU SI KUSIKILIZA NGONJERA ZA CHADEMA KILA SIKU
Kweli aiseeUkivivaa viatu vya wazazi wa Ben Saanane pamoja na ndugu zake hii kitu inauma sana.
Lema kakimbia madeni, na akirudi kuna watu kibao wanamdai.Huyo naye ni ujinga tu unamsumbua mbona alisema kuwa Yuko tayari kusimama ahesabiwe afu akakimbia nchi akawaacha wananchi wake.
Kiongozi shupavu unakufa na raia wako Sasa unawaachaje wafe afu ujiite wewe ni kiongozi jamani.
Pia mbona Kuna damu nyingi sana zimepotea yeye ubinafsi anaangalia hao tu wa kwao kichadema sijui kikabila ama kidini.
Why asiongee Akwilina mwaanafunzi wa ifm,Kuna jamaa aliuwa kijijini Nyanungu wilaya ya Tarime,heche akawadanganya kuwa atamajengea mkewe akapeleka tofali na mchanga afu akasepa mazima baada ya kuanzq kupokea muamala wa kuthibitishwa tokea bank.
Acheni unafiki sio mnapiga Domo ili muonekane kuwa mnaongea eti mnawatetea wananchi na huku mnawatumia Kama madaraja
Akili yako haina akiliMi nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Changanya na Wangwe aliuwawa na nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Mungu ibariki JFKwanini Lema amemtaja Gwajima kwenye uchafu huu ?
Wacha weee !!Lema kakimbia madeni, na akirudi kuna watu kibao wanamdai.
Usitake kututoa nje ya mada. Acha upuuzi wako na tumia akili.Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Ukimbizini haapokei wanaodaiwa, bali wanaotishiwa kuuawa na madikteta uchwara wa CCMWacha weee !!
Nani mwenye jukumu la kulinda Raia na Mali zake?Tunataka kujua viongozi wa CCM kibiti walikuwa wanauliwa na nani.