Huyo naye ni ujinga tu unamsumbua mbona alisema kuwa Yuko tayari kusimama ahesabiwe afu akakimbia nchi akawaacha wananchi wake.
Kiongozi shupavu unakufa na raia wako Sasa unawaachaje wafe afu ujiite wewe ni kiongozi jamani.
Pia mbona Kuna damu nyingi sana zimepotea yeye ubinafsi anaangalia hao tu wa kwao kichadema sijui kikabila ama kidini.
Why asiongee Akwilina mwaanafunzi wa ifm,Kuna jamaa aliuwa kijijini Nyanungu wilaya ya Tarime,heche akawadanganya kuwa atamajengea mkewe akapeleka tofali na mchanga afu akasepa mazima baada ya kuanzq kupokea muamala wa kuthibitishwa tokea bank.
Acheni unafiki sio mnapiga Domo ili muonekane kuwa mnaongea eti mnawatetea wananchi na huku mnawatumia Kama madaraja