Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Wakati wa matukio yote hayo yanafanyika Magufuli alikuwa ni Rais, Samia alikuwa Makamu wa Rais kwa hiyo kila kitu anakifahamu na kama ni kweli anafuata maadili ya dini yake anatakiwa aingie kazini moja kwa moja kwa kuwa pakuanzia anapafahamu,itakuwashida kufanya hivyo kama na yeye ni muhusika.
MAMA HAHANGAIKI NA VILIVYOPITA ANAANGALIA MBELE YAJAYO HASA YA MAENDELEO YA WATU SI KUSIKILIZA NGONJERA ZA CHADEMA KILA SIKU
 
Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Lini umeacha kuuza mzuuti,taarifa uliolewa mombasa n zenj bwana shaka
 
Ulimboka alitekwa na ACP Ahmed Msangi na Ramadhani Ighondu, Mbunge wa sasa wa moja ya majimbo ya Singida
Mbona tumemuomba rais aingilie kati? Kukle kwingine pia wanasema Wangwe ni Mbowe! Tunamuomba rais tu!
 
Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Kwake yeye hayo ni mafanikio makubwa. Toka kuwa mwizi wa magari hadi kuishi Canada!
 
Mi nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Changanya na Wangwe aliuwawa na nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Wapelelezi na vyombo vya dola wanasemaje? Ina maana serikali inawaacha wahalifu pasi kuchukua hatua?
 
Huyo naye ni ujinga tu unamsumbua mbona alisema kuwa Yuko tayari kusimama ahesabiwe afu akakimbia nchi akawaacha wananchi wake.
Kiongozi shupavu unakufa na raia wako Sasa unawaachaje wafe afu ujiite wewe ni kiongozi jamani.
Pia mbona Kuna damu nyingi sana zimepotea yeye ubinafsi anaangalia hao tu wa kwao kichadema sijui kikabila ama kidini.
Why asiongee Akwilina mwaanafunzi wa ifm,Kuna jamaa aliuwa kijijini Nyanungu wilaya ya Tarime,heche akawadanganya kuwa atamajengea mkewe akapeleka tofali na mchanga afu akasepa mazima baada ya kuanzq kupokea muamala wa kuthibitishwa tokea bank.
Acheni unafiki sio mnapiga Domo ili muonekane kuwa mnaongea eti mnawatetea wananchi na huku mnawatumia Kama madaraja
 
MAMA HAHANGAIKI NA VILIVYOPITA ANAANGALIA MBELE YAJAYO HASA YA MAENDELEO YA WATU SI KUSIKILIZA NGONJERA ZA CHADEMA KILA SIKU
Asipohangaika na vilivyopita kwa sasa ipo siku atavihangaikia,Sabaya hakujua na hakuwahi kuwaza kuwa vilivyopita atakuja kuvihangaikia sasa.
 
Huyo naye ni ujinga tu unamsumbua mbona alisema kuwa Yuko tayari kusimama ahesabiwe afu akakimbia nchi akawaacha wananchi wake.
Kiongozi shupavu unakufa na raia wako Sasa unawaachaje wafe afu ujiite wewe ni kiongozi jamani.
Pia mbona Kuna damu nyingi sana zimepotea yeye ubinafsi anaangalia hao tu wa kwao kichadema sijui kikabila ama kidini.
Why asiongee Akwilina mwaanafunzi wa ifm,Kuna jamaa aliuwa kijijini Nyanungu wilaya ya Tarime,heche akawadanganya kuwa atamajengea mkewe akapeleka tofali na mchanga afu akasepa mazima baada ya kuanzq kupokea muamala wa kuthibitishwa tokea bank.
Acheni unafiki sio mnapiga Domo ili muonekane kuwa mnaongea eti mnawatetea wananchi na huku mnawatumia Kama madaraja
Lema kakimbia madeni, na akirudi kuna watu kibao wanamdai.
 
Back
Top Bottom