Mbona kesi ya Wangwe ilikwisha na mtuhumiwa somebody Mallya alihukumiwa kule Dodoma?huyu chacha wangwe ukitaka kuulizia wanakuambia unataka kukwepesha mada wahusika ni wao kisa uenyekiti hauonjwi kama sumu
Aliyeshitakiwa kwa kifo cha Wangwe ni dereva wake aliyeitwa Deus Mallya , akafungwa jela lakini baada ya muda mfupi sana AKAACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS , hebu jiongeze mwenyeweHalafu chadema ni wanafiki Sana wanazungumzia kuhusu Ben 8 lakini hawasemi kuhusu Chacha Wangwe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unatafuta kichaka cha kujifichia jibu hoja!mbowe mafia ni wewe tu ndiyo humjui wenzio wana mjua vizuri sana
Wamehamia whatsapp kutangaza matokeo ya uchunguzi wa Sabaya. Nimeomba watueleze na kifo cha Wangwe nani mhusika?Naona kiki ya Sabaya imekosa mvuto sasa wanaanzisha mpya!
Inaelekea una wivu, nawe ukitaka wanaume hata TZ wapo.Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
acha papara uchunguzi umeshaanza ila shahidi muhimu aliyeshuhudia tukio amefichwa hivi hebu tumia tu akili ndogo hata ya kuvukia barabara kwanini wanamficha dreva ambaye aliona tukio zima kwanini asihojiwe ili upelelezi uendelee? kuna sababu dreva anajuwa
mbowe mafia ni wewe tu ndiyo humjui wenzio wana mjua vizuri sana
Madaktari wenu walisema aliugua nini? Hamuwaamini?Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.
Acha wafu wazikane wao kwa wao!kama ni mafia kwanini hamumkamati na kumfungulia mshtaka?
Wakati huyo Ben Saanane anapotezwa katika mazingira ya kutatanisha na huyo Tundu Lissu anapigwa marisasi, huyu Madam SSH yeye alikuwa nani??
Kesi ya Nyani mnataka Ngedere awe hakimu??
mbowe mafia ni wewe tu ndiyo humjui wenzio wana mjua vizuri sana
Tatizo wabongo sie hamna lolote linaloweza kufanyika zaidi ya kupata umbea tu na kuishia kuupiga mitandaoni kisha basi....tunasubiria iibuke breaking news nyingine.Gazeti la Mwanahalisi lilimtaja wazi kabisa!
Hahahahaha hii ingeleta shidaUsikalie habari
kama inaweza kusaidia uchunguzi tuwekee tuHahahahaha hii ingeleta shida
Andikeni majadiliano bhana! Vicheko tena! Ufala huu! munatujazia MB bure!Hahahahaha hii ingeleta shida
Alikua makamu ila sio yote alishirikishwa, chezea mwendazake, sijui uko aliko kipi kinaendelea katika kuwaongoza malaika,cheo alichokita sanaWakati huyo Ben Saanane anapotezwa katika mazingira ya kutatanisha na huyo Tundu Lissu anapigwa marisasi, huyu Madam SSH yeye alikuwa nani??
Kesi ya Nyani mnataka Ngedere awe hakimu??
Sio hao tu hata kifo cha jiwe kichunguzwe wengi bado hatuelewi hasa undani wa kifo chake. Pamoja na udhalimu wote naye ni binadamu anahaki ya kuchunguzwa aliondokaje?Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
LIst ni Ndefu:Sio hao tu hata kifo cha jiwe kichunguzwe wengi bado hatuelewi hasa undani wa kifo chake. Pamoja na udhalimu wote naye ni binadamu anahaki ya kuchunguzwa aliondokaje?
So sad indeed, linapokuja swala la damu ya mtu kwa kweli lisifumbiwe machoPia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.