Sahihisha kauli yako ndugu. Madam SSH hakuwa mwana ccm tu bali alikuwa Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais ni mtu wa pili kutoka kwa Rais wa nchi. Mipango, sera, mikakati na hata vikao vya siri vya ulinzi na usalama anavyofanya Rais ni lazima Makamu wake awepo au ajue nini kinaendelea.
Kwa kifupi, yaliyofanyika kipindi cha Mwendazake, huyu Madam SSH anayajua yote na hawezi kamwe kujitenganisha nayo, yawe ni mazuri au mabaya.
Yeye mwenyewe alishakaririwa akisema, nanukuu; "Mimi na Marehemu Magufuli tulikuwa wamoja"......mwisho wa kunukuu.