Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Alikua makamu ila sio yote alishirikishwa, chezea mwendazake, sijui uko aliko kipi kinaendelea katika kuwaongoza malaika,cheo alichokita sana
Binadamu sio kitu. Kelele zote zile na vitisho vyote vile sasa hivi ni kimyaaa! Kuna wajinga walikuwa wanasema atawale milele. Sijui kwa sasa wako wapi na kama walikuwa wanajua maana ya milele waliyokuwa wanaisema
 
W
Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.

Hao waliotajwa tayari ni watuhumiwa. Wakati umefika sasa wa Lema kuwa taja wote. Hana cha kupoteza kwakuwa utawala ni mpya siyo wa mtoa roho na pia yuko nje. Vile vile wabaya wake wengi sasa hivi wapo shambani wanalima
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.
Hapa tunaquestion credibility ya ulinzi wa rais pamoja na intelijensia ya nchi yetu kwa ujumla, Rais aliekua analindwa kuliko marais wote waliowahi kutokea, kuna walakini kwenye intelijensia yetu na anapaswa kujiuzulu mkurugenzi wa usalama, Lissu na Lema hapa hawana cha kuwajibika maana hawakua kwenye protokali ya mwendazake
 
alikuwa anataka waje kwakuwa alijuwa hawatakuja sasa tuambie ni nini kinamfanya lissu asije na dreva wake wafungue jalada upelelezi ufanyike?utapelelezaje kesi shahidi wa kwanza umemtorosha dreva anajuwa kila kitu na ndiye aliyechonga hilo dili

..lakini Lissu alirudi Tanzania. Na kuna taarifa kuwa Lissu alikwenda ofisini kwa RPC Muroto kufuatilia gari lake. zaidi anayefungua jalada la upelelezi ni Polisi, bila kujali kama aliyeshambuliwa yuko hai, au amefariki. Na watuhumiwa wakipatikana watashitakiwa na serikali.
 
Binadamu sio kitu. Kelele zote zile na vitisho vyote vile sasa hivi ni kimyaaa! Kuna wajinga walikuwa wanasema atawale milele. Sijui kwa sasa wako wapi na kama walikuwa wanajua maana ya milele waliyokuwa wanaisema
Mkuu tumeyaona mengi ,na tutayasimulia , na Kuna umuhim wa kuyaandikia kitabu ,tulisikia kipindi Cha kupatwa kwa,UGANDA chini ya nduli Amini, ila tukayaona wenyewe kwakupatwa tz chini ya mwendazake na watu wake ,
 
..ni kweli alikuwa ccm na bado ni mwanaccm.

..Je, Mama Samia alikuwa anaunga mkono unyama uliokuwa ukifanywa kwa niaba ya chama chake?

..lingine ni kama Mama Samia yuko tayari kuwatendea HAKI wote walioumizwa na utawala uliopita.
Sahihisha kauli yako ndugu. Madam SSH hakuwa mwana ccm tu bali alikuwa Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais ni mtu wa pili kutoka kwa Rais wa nchi. Mipango, sera, mikakati na hata vikao vya siri vya ulinzi na usalama anavyofanya Rais ni lazima Makamu wake awepo au ajue nini kinaendelea.
Kwa kifupi, yaliyofanyika kipindi cha Mwendazake, huyu Madam SSH anayajua yote na hawezi kamwe kujitenganisha nayo, yawe ni mazuri au mabaya.
Yeye mwenyewe alishakaririwa akisema, nanukuu; "Mimi na Marehemu Magufuli tulikuwa wamoja"......mwisho wa kunukuu.
 
..nakubaliana na hoja yako kwa 100%. ila naomba niongeze kidogo ili hoja yako iwe nzuri zaidi.

..Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza ktk mipango na maamuzi ambayo " alishiriki " na " aliunga mkono " wakati wa uongozi wa Rais Magufuli.

..Namshauri Rais Samia Suluhu Hassan aunde Tume itakayochunguza matukio ya kinyama na kikatili yaliyotokea ktk awamu ya Tano. Na serikali yake iazimie kuwafuta machozi wahanga wote wa matukio hayo.
 
Wakati huyo Ben Saanane anapotezwa katika mazingira ya kutatanisha na huyo Tundu Lissu anapigwa marisasi, huyu Madam SSH yeye alikuwa nani??
Kesi ya Nyani mnataka Ngedere awe hakimu??
Siyo kwamba tunaka Ngedere awe hakimu, bali tumamkumbusha Ngedere ambaye tayari ni hakimu, ashughulikie kesi ya Nyani, bila upendeleo!
 
Siyo kwamba tunaka Ngedere awe hakimu, bali tumamkumbusha Ngedere ambaye tayari ni hakimu, ashughulikie kesi ya Nyani, bila upendeleo!
Sema mambo mengine watu wanaandika kujifurahisha tu, lakini kiuhalisia siyo rahisi rahisi namna hiyo.

Haya mambo ni mazito mno, Madam SSH hawezi kamwe kuyashughulikia kama mnavyotaka ninyi. To do that it's like committing suicide, and she can't do that.
 
mdude type
Kwa hiyo, umekubaliana na jamaa☝️☝️Juu, kwamba Ben Saa8 alitukana kiongozi wa nchi ndo yakampata?! Kwamba, kama Mdude, aligusa pabaya?! Ikiwa jibu ni, ndiyo, futa propaganda nyingine ambazo unasema mara Mbowe, sijui uenyekiti wa CHADEMA, anahusika na hivyo vifo!
 
Sema mambo mengine watu wanaandika kujifurahisha tu, lakini kiuhalisia siyo rahisi rahisi namna hiyo.

Haya mambo ni mazito mno, Madam SSH hawezi kamwe kuyashughulikia kama mnavyotaka ninyi. To do that it's like committing suicide, and she can't do that.
Ni kweli mkuu, tunalijua sana hilo, lakini tuna timiza wajibu wetu tu, wa kupiga kelele, hilo la utekelezaji na suicide ni lake!
 
Mi nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Changanya na Wangwe aliuwawa na nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Usiojulikana baba yenu kinga yenu asante corona mtalipia tu uovu,mlidhani dunia ni ya baba yenu
 
Rais asipokua makini anaweza kumaliza muda wake akifanyia kazi issues za wapinzani TU

Ndio maana huwa wanasema "if you give them an inch they will ask for a mile".

Wakimaliza hili, watadai jingine na wakiona wametimiza malengo yao wataanza kumpinga.
Kwani wapinzani sio walipa kodi
 
Nasikia anatembea na walinzi siku hizi. Atavuna tu uovu wake.

Walinzi hawana issue yeyote ,watu wamemkamata Ole sabaya akiwa na mabaunsa wake,,,waziri wa ulinzi uganda wamemminia risasi huku akiwa na escort ya ulinzi wake.
 
Back
Top Bottom