tatizo lenu mko kama malaya wawanojiuza mbowe sijui anawahonga nini mpaka hamtaki kusikia kuhusu uenyekiti wa maisha ushaona wapi chama hakina watu wengine wa kuongoza chama ukitaka uenyekiti umekwishaKwa hiyo, umekubaliana na jamaa☝️☝️Juu, kwamba Ben Saa8 alitukana kiongozi wa nchi ndo yakampata?! Kwamba, kama Mdude, aligusa pabaya?! Ikiwa jibu ni, ndiyo, futa propaganda nyingine ambazo unasema mara Mbowe, sijui uenyekiti wa CHADEMA, anahusika na hivyo vifo!
siwamemuuwa wenyewe unafikiri wanapenda wajikamatishe?Hutaki tujue Wangwe alikufaje?
CHADEMA inatetea haki za watu wote, kwa mujibu wa katiba iliyopo na hata kutengeneza katiba mpya inayo mpya kila mtu haki yake! Kwa mfano Tundu Lisu amedai haki ya Sabaya kupelekwa mahakamani na kuishitakiwa kwa mujibu wa sheria!Sasa nimejua kwa nini imeamua kuja na "kadi hisa" za wanachama. Kwamba mwanachama atambulike kwa kiwango maalumu cha haki ya kuwa mwanachama. Kumbe ilianzia mbali.
Sasa umalaya si tungekuwa tunahangaika na wenyeviti wengi wengi, tumebaki na Mbowe inakuaje umalaya?! Kwanini hata kwenye ujinga wako hakuna logic?! Unatumia kiungo gani cha mwili kureason?!tatizo lenu mko kama malaya wawanojiuza mbowe sijui anawahonga nini mpaka hamtaki kusikia kuhusu uenyekiti wa maisha ushaona wapi chama hakina watu wengine wa kuongoza chama ukitaka uenyekiti umekwisha
NATUMIA AKILI AMBAYO WEWE HUNA NA UNATUMIA KITOLEA UCHAFU KUFIKIRI SASA HIYO KATIBA YENU NDIYO INARUHUSU MTU MMOJA TU AONGIOZE CHAMA INA MAANA HATA WEWE NI CHIZI HUWEZI KUONGOZA CHAMA? KATIBA ANAIVUNJA NYIE MNACGHHEKELEA KAMA MALAYA ANAPIGILIWASasa umalaya si tungekuwa tunahangaika na wenyeviti wengi wengi, tumebaki na Mbowe inakuaje umalaya?! Kwanini hata kwenye ujinga wako hakuna logic?! Unatumia kiungo gani cha mwili kureason?!
Umepaniki?! Kwa hiyo Mbowe kuongoza chama kunazuiya vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa vifo vya wana-CHADEMA? Mbowe ana kinga ya kutoshitakiwa akiwa mwenyekiti? Jaribu kidogo tu, kuihusisha akili yako kabla ya kuposti! Alafu matusi yanaonesha thamani yako pia, you speak what you are!NATUMIA AKILI AMBAYO WEWE HUNA NA UNATUMIA KITOLEA UCHAFU KUFIKIRI SASA HIYO KATIBA YENU NDIYO INARUHUSU MTU MMOJA TU AONGIOZE CHAMA INA MAANA HATA WEWE NI CHIZI HUWEZI KUONGOZA CHAMA? KATIBA ANAIVUNJA NYIE MNACGHHEKELEA KAMA MALAYA ANAPIGILIWA
Ulimboka alitekwa na Ramadhan Ighondu sasa hivi ni mbunge wa CCM jimbo mojawapo huko mkoani Singida alilowahi kuwakilisha NyalanduMi nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Changanya na Wangwe aliuwawa na nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Sasa kashika usukani lol, [emoji23][emoji23][emoji23]Maza alizinguaga sana
acha ujinga wewe uchunguzi gani mnataka wakati shahidi namba moja mmemficha dreva yuko wapi aje asimulie kilichotokea anamficha kwakuwa anajuwa kuna kitu akae kimya uchunguzi wa nini sasa mnataka wakati hamuonyeshi ushirikianoUmepaniki?! Kwa hiyo Mbowe kuongoza chama kunazuiya vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa vifo vya wana-CHADEMA? Mbowe ana kinga ya kutoshitakiwa akiwa mwenyekiti? Jaribu kidogo tu, kuihusisha akili yako kabla ya kuposti! Alafu matusi yanaonesha thamani yako pia, you speak what you are!
Madereva wa Wangwe, Saa8 na Ulimboka, tumewaficha, pia?!acha ujinga wewe uchunguzi gani mnataka wakati shahidi namba moja mmemficha dreva yuko wapi aje asimulie kilichotokea anamficha kwakuwa anajuwa kuna kitu akae kimya uchunguzi wa nini sasa mnataka wakati hamuonyeshi ushirikiano
siwezi kuendelea kubishana na kima nakuambia walete dreva wa lissu we unaniletea tena wa wangweMadereva wa Wangwe, Saa8 na Ulimboka, tumewaficha, pia?!
Hebu leta hayo matusi waliotukanwa hao takataka wenu.Hiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyo
Hapo ni Sawa, huwezi kutoa hoja wala kujibu hoja, unaruka ruka tu! Hoja iliyo mezani ni Ben Saa8 na Lisu, Wewe ndo ukahoji kuhusu Wangwe na Ulimboka, unamtaka dereva wa Lisu?! CCTV camera za lile jengo huzitaki? Au nazo zimeng’olewa na Mbowe?!siwezi kuendelea kubishana na kima nakuambia walete dreva wa lissu we unaniletea tena wa wangwe
achana na kamera ambazo hazikuwepo suala la muhimu hapa hebu aje lissu afungue kesi upelelezi hapondiyoutafanyika vizuri maana lazima amlete dreva ataulizwa maswali yatakayorahisisha upelelezi hatahayo mambo yya cctv yote yatajulikana sasa upelelezi mnaotaka nyie wa upande mmoja bila kuwa na mtu atakaye toa mwanga kuwa iltokea hivi wakafanya hivi je unajuwaje kama cctv zilitolewa baada ya tukio au kabla ya tukio? acheni kupiga kelele za kitotoHapo ni Sawa, huwezi kutoa hoja wala kujibu hoja, unaruka ruka tu! Hoja iliyo mezani ni Ben Saa8 na Lisu, Wewe ndo ukahoji kuhusu Wangwe na Ulimboka, unamtaka dereva wa Lisu?! CCTV camera za lile jengo huzitaki? Au nazo zimeng’olewa na Mbowe?!
Ulimboka alitekwa na ACP Ahmed Msangi na Ramadhani Ighondu, Mbunge wa sasa wa moja ya majimbo ya SingidaMi nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Changanya na Wangwe aliuwawa na nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
unaushahidi wa kutosha kuwa hao ndiyo wahusika?Ulimboka alitekwa na ACP Ahmed Msangi na Ramadhani Ighondu, Mbunge wa sasa wa moja ya majimbo ya Singida
Hii akili yako ni fupi kama piritoni, kwa hiyo kama Dreva wa Tundu Lissu angeuawa Ina maana Polisi wasingeweza kufanya uchunguzi wowote?achana na kamera ambazo hazikuwepo suala la muhimu hapa hebu aje lissu afungue kesi upelelezi hapondiyoutafanyika vizuri maana lazima amlete dreva ataulizwa maswali yatakayorahisisha upelelezi hatahayo mambo yya cctv yote yatajulikana sasa upelelezi mnaotaka nyie wa upande mmoja bila kuwa na mtu atakaye toa mwanga kuwa iltokea hivi wakafanya hivi je unajuwaje kama cctv zilitolewa baada ya tukio au kabla ya tukio? acheni kupiga kelele za kitoto
“unaushahidi wa kutosha kuwa hao
Wewe una ushahidi wa hayo hapo ☝️??!!siwamemuuwa wenyewe unafikiri wanapenda wajikamatishe?”