tatizo lenu mko kama malaya wawanojiuza mbowe sijui anawahonga nini mpaka hamtaki kusikia kuhusu uenyekiti wa maisha ushaona wapi chama hakina watu wengine wa kuongoza chama ukitaka uenyekiti umekwishaKwa hiyo, umekubaliana na jamaa☝️☝️Juu, kwamba Ben Saa8 alitukana kiongozi wa nchi ndo yakampata?! Kwamba, kama Mdude, aligusa pabaya?! Ikiwa jibu ni, ndiyo, futa propaganda nyingine ambazo unasema mara Mbowe, sijui uenyekiti wa CHADEMA, anahusika na hivyo vifo!