Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Ndugai naona atakuwa alicheka sana akadhani nabii Lema anatania ole wake laiti angejua. Kwasasa anayakumbuka. Mmeshaambiwa Mungu hali chapati.
 
🥲Nadhani lema anamwambia Jiandae operesheni ishapewa green light Inaonesha huu ni mkakati ulishapangwa muda mrefu Hata kwa mlolongo wa matukio ulivotokea Sio rahisi yeye kujiuzulukirahisi kisa kuhoji jambo la ukweli hii imeekwa kama sababu tu 🥲Acha tusubiri
 
Nikujibu upumbavu yaani hujui utofauti wa ndiyo na ndio? Au sababu nimekupa mda wa kubishana na wewe hapa?
Rudi shule ukasome maana unaendelea kuonesha ulivyo na ujinga mwingi. Katika lugha ya kiswahili hatuna neno ndio usitake kujizatiti kwa kutumia matusi.
 
Rudi shule ukasome maana unaendelea kuonesha ulivyo na ujinga mwingi. Katika lugha ya kiswahili hatuna neno ndio usitake kujizatiti kwa kutumia matusi.
Ila tunalo neno 'jiululu'? Endelea kuonesha usomi wako ulionao. Shida kubwa ya mbumbumbu ni ubishi wa kijinga, kwaheri bwana..
 
Ila tunalo neno 'jiululu'? Endelea kuonesha usomi wako ulionao. Shida kubwa ya mbumbumbu ni ubishi wa kijinga, kwaheri bwana.

Ijapokuwa haujaonesha neno hili lilipotumika, inaonekana ni kosa la kiuchapaji na hakuna ubishi juu ya hili, tofauti na wewe uliyemkosoa mwenzako kwa kejeli.

Lakini wewe ulipooneshwa kosa lako kama lake ulitaka kuleta ubishi na ukataka kutudanganya.

Sasa kwa kuwa umetambua ujinga wako na tayari sasa umeshauondoa ni vizuri na ndiyo uzuri wa jf.
 
Chadema wamegeuka kuwa waganga wa kienyeji!
Haya Jiwe yuko 6 feet under. Ndugai naye OUT ! Jiulize nani Mganga wa kienyeji hapo? Achana na ushabiki wa kichizi.....itaku- cost. Mungu hadhihakiwi my brother! Watch your words!!!
 
Back
Top Bottom