Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hunijui wewe mataga pori.Umewahi hata kula kibao cha polisi? Eti mmezoea maumivu kwanini lisu na lema wakimbie? Hujui walikimbia nini huku? Si hua mnataka kuandamana jaribuni kuandamana ndio mtatuona sisi ni akina nani? Hakuna mpinzani aliyezoea maumivu, wote ni waoga na ndio maana mnafyata mikia. Na kwa uoga huo tutatawala nchi hii mpaka mwisho wa dunia, Na hukuna kitu mtafanya.
sisi tumeshaumizwa sana na CCM yako na bado tupo tunatabasamu, sasa nyie watoto mayai wapambe wa viongozi leo sponsor wako amekatwa kichwa kwa katiba mbovu unayoitetea alafu unalazisha tukuonee huruma.
Narudia tena, wapinzani tumezoeya mateso ya serikali katili ya CCM since 1995, kwahiyo nyie watoto wa bibi msiforce tulie kwenye misiba yenu inayosababishwa na katiba mbovu mnayozungusha viuno kuitetea.