Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Lema huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje ukisoma hii post yako leoKama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Natumai sasa umesadiki kuwa Kibri kina mwisho wake.Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Vipi mdau una maoni Gani Leo baada ya kimbunga Jobo kupigwa na tufani?Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Basi sawa.Huyu mjinga tu ,kama wajinga wengine.
ulivyomjibu kiuvivu mkuu Daudi kama ataiona hiyo ajue la gizani limempataBasi sawa.
Vipi mdau una maoni Gani Leo baada ya kimbunga Jobo kupigwa na tufani?
MATAGA hamnaga future na hua mnaishia kufeli vibaya Sana Kwa aibu
Mpaka Sasa
LEMA 3 vs 0 MATAGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
we jamaa sabufa angesikiliza ushauri wakoDuh huyu huwa kama 'anaoteshwa' hivi, Spika usidharau hata kidogo
Sasa unacheka cheka nini? Mbowe yupo wapi saizi unavyosoma huu ujumbe? Yupo jela, unajua ni kwanini? Karma ya kula posho za wenzie. Huyo ndugai yupo nje ya madaraka na mbowe yupo wapi? Hivi nyumbu mna nini lakini?Vipi mdau una maoni Gani Leo baada ya kimbunga Jobo kupigwa na tufani?
MATAGA hamnaga future na hua mnaishia kufeli vibaya Sana Kwa aibu
Mpaka Sasa
LEMA 3 vs 0 MATAGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Mbona alishaanza na mwenyekiti Mbowe, hujui wapi alipo mwenyekiti wako? Mnajifanya kufurahi wakati mnaumia. Nilisema karma itaanza na mwenyekiti na kweli imeanza.Natumai sasa umesadiki kuwa Kibri kina mwisho wake.
Niambie kwanza mwenyekiti wenu yupo wapi saizi. Alafu ntarudi kukujibu hilo swali.Unaonaje ukisoma hii post yako leo
wewe mjane sisi wapinzani maumivu kwetu ni kawaida sana, tumeishi kwa maumivu since 1995, hivyo kumfunga mbowe tumeshajiandaa kisaikolojia kitambo mnoo yani hakuna machungu ambayo hatujapitia, tumeshazika sana ndugu zetu mliowauwa kwa kutumia policcm na wale mliowauwa nyie uvccm kwa mapanga yenu na marungu.Mbona alishaanza na mwenyekiti Mbowe, hujui wapi alipo mwenyekiti wako? Mnajifanya kufurahi wakati mnaumia. Nilisema karma itaanza na mwenyekiti na kweli imeanza.
Sasa unacheka cheka nini? Mbowe yupo wapi saizi unavyosoma huu ujumbe? Yupo jela, unajua ni kwanini? Karma ya kula posho za wenzie. Huyo ndugai yupo nje ya madaraka na mbowe yupo wapi? Hivi nyumbu mna nini lakini?
AiseeTujiwekee kumbukumbu haya maneno aliyoandika lema...
Huenda siku tukaona aliongea kitu cha msingi..
Acha tujipe muda
Duuuh bado hawasikiiHuu ni unabii umetolewa. Ni kama ule uliotolewa kwa Mwendazake. Mwenye masikio na asikie
ulivyomjibu kiuvivu mkuu Daudi kama ataiona hiyo ajue la gizani limempata
Tatizo mataahira kama haya hua hayaoni future Kwa kushabikia uovu mwishowe yanaumbuka hapa hapa
Mpaka Sasa
LEMA 3 vs 0 MATAGA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umewahi hata kula kibao cha polisi? Eti mmezoea maumivu kwanini lisu na lema wakimbie? Hujui walikimbia nini huku? Si hua mnataka kuandamana jaribuni kuandamana ndio mtatuona sisi ni akina nani? Hakuna mpinzani aliyezoea maumivu, wote ni waoga na ndio maana mnafyata mikia. Na kwa uoga huo tutatawala nchi hii mpaka mwisho wa dunia, Na hukuna kitu mtafanya.wewe mjane sisi wapinzani maumivu kwetu ni kawaida sana, tumeishi kwa maumivu since 1995, hivyo kumfunga mbowe tumeshajiandaa kisaikolojia kitambo mnoo yani hakuna machungu ambayo hatujapitia, tumeshazika sana ndugu zetu mliowauwa kwa kutumia policcm na wale mliowauwa nyie uvccm kwa mapanga yenu na marungu.
Yani kumtishia mwanachadema maumivu ni sawa na kujitia dole mwenyewe na kunusa.
Sawa mkuu, ngoja niwaache hawa akili kisoda.achana na roho za kimasikini za hao jamaa.