Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Hana lolote, anajua kuwa Ndugai ni mgonjwa, wakati wowote atakufa.Tujiwekee kumbukumbu haya maneno aliyoandika lema...
Huenda siku tukaona aliongea kitu cha msingi..
Acha tujipe muda
Hata mimi natamani Ndugai angebadili tabia yake. Aache unafiki. Stress za mipango ya unafiki ndizo sumu za kumdhuru afya yake.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app