BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππLema ni Nabii
Mbona tayari kishaanza kuogopwa ! huko Arusha watu wanaomba afungue kanisaMaccm yataanza kumuogopa Mkuu.
Yeye huyo Lema hataweza kupata adhabu?!Ishuke adhabu chaap kwa haraka
HatowezaYeye huyo Lema hataweza kupata adhabu?!
Sawa, tusubiriHatoweza
Arudishwe ili akaibe hela BOT ?Ingelikuwa CCM ya Magufuli jumatatu anatakiwa akajieleze Lumumba kauli yake ya kuzua taharuki ilikuwa inamalengo gani.
Mama rudisha Bashiru kuwa katibu mkuu uropokaji wa ovyo ovyo ulishaanza kukoma wanachama wote walikuwa kwenye mstari, hawa watu walizoea kuchekewa sana kipindi cha nyuma.
Hiyo post nimeweka kwenye wrong thread.Arudishwe ili akaibe hela BOT ?
Kwanini usianzishe uzi wa jambo hilo ili upime upepo ukoje !Hiyo post nimeweka kwenye wrong thread.
Bashiru harudi kuwa katibu mkuu kudhibiti watu design ya Nape ambao wanaanza kuota mabawa mapema kwa kauli za mvurugano.
Huu sio ujumbe wa kupuuza, muda utaongeaDuh huyu huwa kama 'anaoteshwa' hivi, Spika usidharau hata kidogo
Kuna watu watampuuzaDuu!! Huyu nabii ndiye aliyemuonya Meko akashupaza shingo consequences zake hazikuwa nzuri sana!
Tafuta fundi dish akurekebishie dish lako liko upande budyKama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Wewe 1954 hutaweza kupata adhabu?Yeye huyo Lema hataweza kupata adhabu?!
Mnawabambikizia watu kesi hata wasio na hatia, mngeshindwaje kumkamata Lema, kama ni jambazi?Hivi yeye dhambi ya ujambazi na wizi wa magari aliitubu lini?
Sawa mkuuTafuta fundi dish akurekebishie dish lako liko upande budy
Huwa akiomba Mungu HUJIBU MAOMBI YAKEHuu sio ujumbe wa kupuuza, muda utaongea
Kuna Mitanzania mnatia kichefuchefu kwa mawazo mfu.Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..