Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ni nani awezaye kujua mwenzie ni mbaya kuliko yeye? Hapa duniani kuna mtu anauwezo wa kujua ubaya? Hilo neno linaonyesha kwamba binadamu anapower hiyo? Anyway Bible kila mtu anatafsiri yake......Sawa sana!
Ila Mungu Ametuagiza kwa Ukali
[emoji116][emoji116]
EZE. 33:8-9 basi mtu awaye yote Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako. Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.