Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
TAGA katika ubora wako, unapuyanga tu.
Nginjanginja mpka mirembe.
 
Sina shaka yeyote na unabii wa Lema,
Ndugai hana faida yoyote kwa taifa letu.
Nasubiri neno litimie kama lilivyo timia
neno Chato. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Weka hapa cv yako tuione mkuu. Btw, ujue Lema ni mhesjimiwa mbunge wa mioyo ya wapiga kura wa Arusha mjini kwa miaka 10.
 
Kweli ndugai amejidhalilisha sana kama spika kwa kipindi chote akiwa kama spika. Anyway, alishasema ana 'faili' mirembe.
Pia mtu akiugua muda mrefu akili huwa zinahamahama.
 
Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Tuambie lijua likali yupo wapi?
Anatumikia adhabu take kwa makosa haya
1. Kuvuta mibange
2. Kuwasaliti wapenda mabadiriko
3. Kushirikiana na ccm kuudanganya umma kwa
Kusingizia watu dhambi wasiyofanya( kushuhudia uwongo)

Ccm wabaya sana,
 
Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Div. Four 29, alifaulu kiswahili na civic education.
 
Mungu afanye yake tu, macho yetu yamechoka kuona dhuluma na kiburi

Kwa hiyo siku hizi, mmefikia mpaka hatua ya kumpangia kazi Mungu.
Halafu nani kasema Mungu anajihusisha na maluweluwe yenu hayo.
Mbona hamumwambii huyo jamaa yenu kutubu Dhulma ya uhai na mali za watu kutokana na kazi aliyokuwa anafanya.
 
Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Ipo siku utakuja kuona aibu kwa hii comment yako!

Ngoja nimeku quote maksudi ili usije ku Edit hii comment ako..
 
Hivi yeye dhambi ya ujambazi na wizi wa magari aliitubu lini?
Kwani ulitaka atubu mbele ya Camera naww ukiona live? Au siku hizi kutubu ni fasion mpaka kila mtu ajue? Jaribu kufikiri kabla ya kuandika vitu visivyoeleweka...

Mimi naww hatujui kama alitubu au laah, sabu kutubu ni siri kati ya nafsi ya mtu na muumba wetu! Hivyo kukaa kimya ni jibu zuri...
 
Lema amesema ukweli kabisa. Kwa nafasi ambayo Spika wa Bunge anaihudumu inampasa kuishi katika kiapo alochokiapa mara baada ya kukabidhiwa jukumu hilo nyeti. Rejea mbili kutoka katika maandiko matakatifu zinaweza kutumika kama angalizo la kiroho.

EZEKIELI 17:18
"Kwa kuwa alikidharau kile kiapo na kuvunja lile agano ambalo aliahidi kwa mkono wake mwenyewe na kufanya mambo haya yote, hakika hataokoka"

KUMBUKUMBU LA TORATI 23:23
"Maneno ya midomo yako utayatimiza,+ nawe lazima ufanye kama vile ambavyo umeweka nadhiri kwa Yehova Mungu wako kama toleo la hiari ambalo ulisema kwa kinywa chako"
 
Duuuh, sisi sote ni binadamu pua zinaelekea ardhini, Ndugai anashida zake na mapungufu mengi ila mambo mengine yanavuka minyau (mipaka)....kila mtu atakwenda kwa muda wake tu....ila siyo kushangilia mambo kama haya
Sawa sana!
Ila Mungu Ametuagiza kwa Ukali
[emoji116][emoji116]
EZE. 33:8-9 basi mtu awaye yote Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako. Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.
 
Back
Top Bottom