Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Lema alisema mwendazake atakufa. Sasa yukowapi? Hivyo Lema anamaono kuliko wewe mpuuzi wa lumumba.
 
Mnaowazarau, watu KWA mtazamo wa nyama na sio kiroho, mtabeza,ila sie wa kiroho zaidi,japo sio wachungaji, hatuna makanisa tunaelewa mungu asivyo na upendeleo katika kumtumia kila aliye mpa pumzi, Ndugai usipuuze Hili, asema bwana
Asipokusikia hapa asije kumlaumu mtu
 
Lema alisema mwendazake atakufa. Sasa yukowapi? Hivyo Lema anamaono kuliko wewe mpuuzi wa lumumba.
Angekua na maono angeona mbele na kukazana kusoma, lakini dishi lilicheza na signal zikawa weak akapata aliyopata. Mpaka sasa alitakiwa ashukuru serikali ya CCM kwa kuruhusu darasa la saba wawe wabunge.
By the way, hana maono yoyote. Ni mpuuzi tu kama ulivyo wewe
 
Tuambie lijua likali yupo wapi?
Anatumikia adhabu take kwa makosa haya
1. Kuvuta mibange
2. Kuwasaliti wapenda mabadiriko
3. Kushirikiana na ccm kuudanganya umma kwa
Kusingizia watu dhambi wasiyofanya( kushuhudia uwongo)

Ccm wabaya sana,
Lijua likali alishasema " ni bora abaki masikini kuliko kutumika pale CDM" yaliyokua yanaendelea pale CHADEMA ni dhuluma. Mwenyekiti ni dhulumati, ndio maana hataki kuondoka pale kitini
 
Weka hapa cv yako tuione mkuu. Btw, ujue Lema ni mhesjimiwa mbunge wa mioyo ya wapiga kura wa Arusha mjini kwa miaka 10.
Cv yangu si muhimu hapa. Ila Lema ni mpumbavu, mwenye chuki, na fisadi aliyejificha upinzani. Kitendo cha kua mbunge kisikutishe , kigezo ni kujua kusoma na kuandika basi.
 
Kwanini asimuonye mwenyekiti wake kwa kuiba pesa za chama na mirathi?
 
Kwani ulitaka atubu mbele ya Camera naww ukiona live? Au siku hizi kutubu ni fasion mpaka kila mtu ajue? Jaribu kufikiri kabla ya kuandika vitu visivyoeleweka...

Mimi naww hatujui kama alitubu au laah, sabu kutubu ni siri kati ya nafsi ya mtu na muumba wetu! Hivyo kukaa kimya ni jibu zuri...
Inaelekea umekariri tu kuhusu kutubu lakini huijui kanuni ya kutubu. Ngoja nikupe somo kidogo:
Ukitenda dhambi ya rohoni, unatubu rohoni (peke yako) na Mungu wako
Ukitenda dhambi kwa mtu mmoja, unatubu mbele ya huyo mtu mmoja
Ukitenda dhambi mbele ya watu wengi, unatubu mbele ya watu wengi.
Nadhani sasa unaweza kuamua vizuri wapi unatakiwa kwenda kutubu.
 
Inaelekea umekariri tu kuhusu kutubu lakini huijui kanuni ya kutubu. Ngoja nikupe somo kidogo:
Ukitenda dhambi ya rohoni, unatubu rohoni (peke yako) na Mungu wako
Ukitenda dhambi kwa mtu mmoja, unatubu mbele ya huyo mtu mmoja
Ukitenda dhambi mbele ya watu wengi, unatubu mbele ya watu wengi.
Nadhani sasa unaweza kuamua vizuri wapi unatakiwa kwenda kutubu.
Naona wewe ndio una changanya kutubu na kuomba radhi/msamaha...
Iko hivi, kutubu, tunatubu kwa Mungu tu pekee na si sehemu nyingine wala kwa mtu! Ukitenda dhambi unatubu kwa Mungu (Nafsi ako na Mungu zinawasiliana kukiri kosa mbele ake na kuomba msamaha kwake) then ndo unarudi kwa uliowakosea unaomba radhi tu huwezi tubu kwa watu (Sabu binadamu hawezi kukusamehe totally asiweze baki na kinyongo tofauti na Mungu) na binadamu hawawezi kukusamehe wote.. Ndo maana tumeambiwa tusihukumu kwa sababu hakuna mkamilifu... Nafikiri mpaka hapo kidogo utakua umenielewa..
 
Back
Top Bottom