Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Hata Yusufu muota ndoto alipuuzwa na nduguze hivi. Lema alimuonya mwendazake yakwamba hasipotubu na kugeuka atakufa angali akiwa katika nafasi ya urais.

Alipuuzwa akapelekwa mahakamani,Kilichotokea tunakijua.Basi Ndugai tengeneza mambo ya familiya yako uenda inabii huu ukatimia kwako.
 
asipokufa itakuwaje!!!

naona mnaanza kujipa kazi nyingine baada ya kustaafu ubunge.
 
Siku akitumia unabii wake kulipa madeni na sio kuyakimbia nitamuona ana akili Sana!
 
Aliyakimbiza maisha yake dhidi ya watoa kafara au wasiojulikana.

mwambieni arudi kama ana uhakika wadai wake wamesamehe madeni.

huyu ndugai ana kisasi naye sababu aliishawahi kumropokea kwamba anadaiwa milioni 600 na hana mpango wa kulipa.
 
mwambieni arudi kama ana uhakika wadai wake wamesamehe madeni.

huyu ndugai ana kisasi naye sababu aliishawahi kumropokea kwamba anadaiwa milioni 600 na hana mpango wa kulipa.
Anarudi mbona mtaweka wapi uso wenu.
Wote waliokimbia kuuliwa kutolewa kafara kwa shetani wanarudi wote home kumenoga.
 
Mungu hafanyi kazi hivyo basi dunia binadamu wote wangeisha maana kila aliwazalo mwanadamu ni uovu
Kwa hili BWANA atalithibitisha maana BWANA ni BWANA wa haki. E BWANA nimeiongoja hukumu yako na Sheria yako.
 
Lema asijikute muandishi wa Waraka wa Waebrania yeye pia ni mdhambi na mdhaifu kama binadamu wengine.
 
ndipo akili za chadema zilipofikia hapa.

tukisema hamna upinzani bali genge la wahuni nchini mnang'aka.

anajivika jukumu la kuwa mshitaki mbele za Mungu ili!!!!
BWANA ndiye Hakimu wa haki. Tumshtakie Nani Tena?
 
Back
Top Bottom