Umekula mchana lakin
Acha kukwepa ujinga wako jibu ulichoulizwa maana mnajifanya wajuaji kumbe watupu.Umekula mchana lakini?
Siyo kila neno la kudharauliwaHuyu mjinga tu ,kama wajinga wengine.
huyu ni mwehu tu nani asiyemuwa anajifanya anamshirikisha mungu
Lema kiboko, amtabirie na Samia basi mbona anachelewa😴😴
Mbona tayari !Lema kiboko, amtabirie na Samia basi mbona anachelewa[emoji42][emoji42]
[emoji38][emoji38][emoji38] pole sana kijanahuyu ni mwehu tu nani asiyemuwa anajifanya anamshirikisha mungu
Safi😀Mbona tayari !
Nikujibu upumbavu yaani hujui utofauti wa ndiyo na ndio? Au sababu nimekupa mda wa kubishana na wewe hapa?A
Acha kukwepa ujinga wako jibu ulichoulizwa maana mnajifanya wajuaji kumbe watupu.
Mh.Spika Ndugai aitishe press conference kumjibu Lema
Rudi shule ukasome maana unaendelea kuonesha ulivyo na ujinga mwingi. Katika lugha ya kiswahili hatuna neno ndio usitake kujizatiti kwa kutumia matusi.Nikujibu upumbavu yaani hujui utofauti wa ndiyo na ndio? Au sababu nimekupa mda wa kubishana na wewe hapa?
Nabii Lema amemuambia atubu mapema kwani mwakaw huu hatoboiNdugai naona atakuwa alicheka sana akadhani nabii Lema anatania ole wake laiti angejua. Kwasasa anayakumbuka. Mmeshaambiwa Mungu hali chapati.
Ila tunalo neno 'jiululu'? Endelea kuonesha usomi wako ulionao. Shida kubwa ya mbumbumbu ni ubishi wa kijinga, kwaheri bwana..Rudi shule ukasome maana unaendelea kuonesha ulivyo na ujinga mwingi. Katika lugha ya kiswahili hatuna neno ndio usitake kujizatiti kwa kutumia matusi.
Yameona hayajaona?Sisi yetu macho
Ila tunalo neno 'jiululu'? Endelea kuonesha usomi wako ulionao. Shida kubwa ya mbumbumbu ni ubishi wa kijinga, kwaheri bwana.
Umethibitisha kuwa wewe ndio MjingaHuyu mjinga tu ,kama wajinga wengine.
Haya Jiwe yuko 6 feet under. Ndugai naye OUT ! Jiulize nani Mganga wa kienyeji hapo? Achana na ushabiki wa kichizi.....itaku- cost. Mungu hadhihakiwi my brother! Watch your words!!!Chadema wamegeuka kuwa waganga wa kienyeji!