Godbless Lema anajaribu kuichonganisha Serikali na Mahakama lakini hatafanikiwa. Suala la Mbowe ni la kisheria siyo kiutawala

Godbless Lema anajaribu kuichonganisha Serikali na Mahakama lakini hatafanikiwa. Suala la Mbowe ni la kisheria siyo kiutawala

Na toka lini umejipa usemaji wa Watanzania!relax mkuu toa maoni yako sio kunisemea na mimi
 
Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.

Kwa mujibu wa Katiba, mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la Mahakama siyo Serikali.

Mungu ni mwema wakati wote.

Suala la Mbowe ni la kisiasa:

1. Ule mhimili uliojichimbia zaidi una lake jambo.
2. Kuna "ends" zinatakikana kufikiwa.
3. Wamekabidhiwa vigogo wasiolipa kodi kwa hisani ya #1 wapate kulipa fadhila.
4. Vigogo #3 ni wateuliwa #1 ambaye ndiye "master" wao.
5. Yote #4, #3, na #1 yana uelekeo wa kufanikisha #2.

Tulipo kesi ya ngedere kula mahindi ya binadamu imepelekwa kwa hakimu nyani.

Hukumu bila shaka itakuwa binadamu apewe mbolea zaidi ili alime zaidi kipatikane chakula zaidi kwa wote nyani, ngedere na binadamu.
 
Tatizo la Jaji siyo tatizo la serikali bwashee!
Ficha ujinga kidogo,
Sasa Kama Lema anaingilia Mahakama Serikali inahusikaje?
Mbona unatega na kujinasa mwenyewe?

Kuna muda siyo kila kitu lazima upost,kalibu hata kumaliza hata wiki 2 ili ujalibu kusoma post za wenzio unaweza kujifunza kitu,

Ole account ya Bia yetu mbona huitikii kwa Sasa?
 
Mjiandae kumkataa na Mustapha!
 
Back
Top Bottom