Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.
Kwa mujibu wa Katiba, mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la Mahakama siyo Serikali.
Mungu ni mwema wakati wote.
Ficha ujinga kidogo,Tatizo la Jaji siyo tatizo la serikali bwashee!
Mjiandae kumkataa na Mustapha!Ficha ujinga kidogo,
Sasa Kama Lema anaingilia Mahakama Serikali inahusikaje?
Mbona unatega na kujinasa mwenyewe?
Kuna muda siyo kila kitu lazima upost,kalibu hata kumaliza hata wiki 2 ili ujalibu kusoma post za wenzio unaweza kujifunza kitu,
Ole account ya Bia yetu mbona huitikii kwa Sasa?
Haiwezi kusema Google bwashee, wakati Hosea 4:6 inaandikwa Google ilikuwa haijaanzishwa 😂😂Google!